Tetesi: Baada ya CUF kuchora mstari polisi wauana Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Mkuu huyo mtani Wako bendera fuata upepo. Akili zake hazina tofauti na nguo za ndani za kinadada poa, kazi yake ni kuficha mpaka uchafu usiofichika.
Sometimes hua namkumbuka sana Mkosamali aliposema; "Mwaka hu Watanzania wakichagua tena ccm, napendekeza tutafute consultant wa kuja kupima akili zetu kama tunao uwezo wa kufikiri na ku reason mambo" Huyo mtani wangu ni 1 wao kaka.
 
Sometimes hua namkumbuka sana Mkosamali aliposema; "Mwaka hu Watanzania wakichagua tena ccm, napendekeza tutafute consultant wa kuja kupima akili zetu kama tunao uwezo wa kufikiri na ku reason mambo" Huyo mtani wangu ni 1 wao kaka.
kwa mataso tuliyoletea na ccm miaka 50 ilipaswa tukipumzishe hiki chama mfu. Lakini tatizo lipo kwa watanzania tulifundishwa uoga na tunatafunwa na dhambi ya uoga.
 
kazi ya mkwere hii kaacha upupu
 
Halafu Agustino Mahiga anatoka nchi hii kwa fedha za walipa kodi wanyonge eti kwenda KUSULUHISHA mgogoro wa Burundi, Trump aliona mbali sana kwa aliyosema.
ni uchizi tz kwenda kusuluhisha mgogoro burundi yaani haingii akilini kabisa
 
Ninakwambia hoja zako ni hoja mfu hazina ata chembe ya uhalisia. Serekali yenyewe imeshindwa kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji miaka nenda rudi. Tena kwa level ya wilaya ambazo ni ndogo kuliko Zanzibar yenye mamlaka kamili.
Dhaifu or not, fanya fyoko ule jeuri yako!
Watu wamechoka!
 
Mada ya kipumbavu kutoka kwa lofa na mpumbavu Mwiba
Wewe lete mada yako ya uweledi na hariri na utajiri. Usiwe na mawazo ya mgando. Tukio limetokea.

wafanyakazi wa kituo cha petroli wamekana kufanyika jaribio la ujambazi. Walichokiona ni kundi hilo likizozana na kumalizika kwa kupigana risasi. Pana kosa gani la kutuelewesha? umaskani umaskani tuuu!
 
Kuna watu humu wanapenda kuona amani ikivurugika maana watapata faida pindi amani ikiwa haipo, tuwakatae.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…