Baada ya Davido kubuma aanza kuimba nyimbo za Diamond kwenye show zake

Mnapotezana wote na boss wenu hamuangalii upande wa pili... na ofcourse nyie ni mashabiki akibuma tu mnajump the ship na mnakuwa wa kwanza kucritisize... mi nacheki movie tu ngoma ikivuma sana hupasuka
 
Mnapotezana wote na boss wenu hamuangalii upande wa pili... na ofcourse nyie ni mashabiki akibuma tu mnajump the ship na mnakuwa wa kwanza kucritisize... mi nacheki movie tu ngoma ikivuma sana hupasuka... Na amini nnachokuambia sisi tunaomponda sana ndo tutakuwa watu wa kumsaidia maana ndo tuna nia njema nae.... Mzazi akikuchapa unaona anakuonea hakupendi lakini anaona mbali lengo ni kukurekebisha ukae kwenye mstari
 
waleta mada kama hawa ndo huna nakalili majina yao ili nisifungue tena thread zao.
 
Bhaeleze lkn pia wasamehe. Hili somo walifeli.
 
Huko 'mambefele' wanakojua nini maana ya sapoti, nakumbuka kipindi kile ngoma ya Lil Kim 'Lighters up' in bang kila kona. Mary J Blige ilikuwa kwenye show nyingi anazoenda lazima ampigie simu mchizi wake....''ebana mi nakinukisha huku'', Lil Kim anamwambia...''sana tu mchizi wangu, dunia lazima ikome na Bronx''. Na Mary alikuwa hakosei kwenye beat la 'lighters up'.
Wote wanatoka Bronx, wanawakilisha mitaa ya QueensBridge na walikuwa wanafanikiwa kwa kupeana ushirikiano wa dizaini hiyo.
Sasa sisi mtu kuimba tu wimbo alioshiriki imekuwa nongwa.
Natamani siku Kiba yuko Brazil anafanya show, anamuendea Chibu hewani.........''mwana vp... nawachambulishe karanga na huku?''.
 
We jamaa una matatizo mi sijawahi kuanzisha thread eti kumponda Diamond au kumfananisha na kiba ila huwa mnakera hamuwezi mkamuongelea boss wenu bila kumtaja kiba
Kwahiyo akizungumziwa Kiba tu we huwa inakuuma?!!!&%$#@ Maajabu haya... by the way, anza kusoma post ya kwanza hadi pale alipotajwa Kiba kwa mara ya kwanza kisha tujuze ni nani ameleta habari za Kiba kwenye huu uzi!!!!
 
No ukimdharau mtu umewadharau na wote wanaomsupport... the same goes to you akisemwa Diamond mnatokwa sana povu
 
No ukimdharau mtu umewadharau na wote wanaomsupport... the same goes to you akisemwa Diamond mnatokwa sana povu
Jibu swali wewe: Nani kwa mara ya kwanza ameleta habari za Kiba kwenye huu uzi???!!!!
 
Hizi ndio akili za Misukule wa Madale zilipoishia
 
Jibu swali wewe: Nani kwa mara ya kwanza ameleta habari za Kiba kwenye huu uzi???!!!!
Habari yenu imekaa kizushi sijui mnatafuta kiki au ni kuto kujitambua tu... Eti Davido amebuma mnaweza kuthibitisha hilo?
 
Habari yenu imekaa kizushi sijui mnatafuta kiki au ni kuto kujitambua tu... Eti Davido amebuma mnaweza kuthibitisha hilo?
Sasa kubuma kwa davido kuna uhusiano gani n kiba
 
Habari yenu imekaa kizushi sijui mnatafuta kiki au ni kuto kujitambua tu... Eti Davido amebuma mnaweza kuthibitisha hilo?
Naona unazidi kumbwela mbwela tu hapa! Swali lilikuwa ni nani kaleta habari za Kiba kwenye huu uzi!! Sasa mara oh, mada ya kizushi; mara mnatafuta kiki... mara Davido... vp jombaa?! Halafu unasema mashabiki wa Chibu wanatafuta kiki lakini kwa wafuasi wa hili jukwaa wanafahamu hao wachangiaji wa mwanzo mwanzo ambao wamem-criticise mleta mada ni mashabiki wa Diamond hao!!! Huyo mleta mada ama atakuwa ametumia ID nyingine au ni wale wa kuingia na kuondoka!!! Sasa kama tunatafuta nini ni kwanini basi mashabiki hao hao unaosema wanatafuta kiki ndio wamempinga jamaa!!!
 
Amebuma wakati ana show Paris..?aya matimu yenu yanawafanya hata akili zetu zishindwe kuwasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…