Kwani ulipoongea wewe ulilipia ..........Kiba hana anachomfikia DIAMOND kwa lolote wenzako walishaachaga kumfananisha na mtu anayefanya shoo popote Africa na akajaza akapata shangwe la kutosha,sasa huyo jamaa yako shoo zake ni za bongo tena za matukio (sio rasmi kwa ajilia yake) na akienda nje basi ni Mombasa na zenyewe za matukio sio rasmi kwaajili yake,au awe msindikizaji kwa kuchomekwa na yule ndugu yake wa Mombasa. Acha kufananisha baiskeli na private jet unafeli, kisa eti vyote vyombo vya usafiri.