Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wakuu hizo Kauli za Leo ni sawa na Hadithi ya Sungura sizitaki Mbivu hizi !!.
Rais Samia baada ya Mitandao kumuonyesha kua miaka yake mitano anayoipigania Kwa Nguvu zote, Kasi yake ukopaji italifanya Deni la Mama kufikia Trillion 180 kufikia 2030, Sasa ameamua kuja na Gia ya kwamba huko nje Mashariti yanazidi kua Magumu na blaa blaah zake nyingi.
Kwa watu wajinga na wapumbavu, machawa na Wabunge wetu Hawa , Only Mpina , Gwajima na watu makini wenye Elimu na wakaelimika, ndio tunaelewa kua ni Gia ya Rais kujaribu kujitenganisha na Deni lake kubwa Kwa gia ya Huko nje mashariti ni magumu !!!.
Kwa miaka 5 anayotaka , Deni lake Litafikia Ukomo na Nchi haitakopesheka.
Sasa Ndugu yangu fikiria, Rais ajaye 2030 akute Nchi haikopesheki, Sijui atakua na Hali gan?.
RAIS Samia haifai kua Rais !!.