Baada ya DENI LA MAMA Kufikia T 107 , Rais kaja na Gia ya 'Tulipe Kodi huko nje mashariti magumu", Ukweli ni kua DENI libakaribia Kufikia !!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu hizo Kauli za Leo ni sawa na Hadithi ya Sungura sizitaki Mbivu hizi !!.

Rais Samia baada ya Mitandao kumuonyesha kua miaka yake mitano anayoipigania Kwa Nguvu zote, Kasi yake ukopaji italifanya Deni la Mama kufikia Trillion 180 kufikia 2030, Sasa ameamua kuja na Gia ya kwamba huko nje Mashariti yanazidi kua Magumu na blaa blaah zake nyingi.

Kwa watu wajinga na wapumbavu, machawa na Wabunge wetu Hawa , Only Mpina , Gwajima na watu makini wenye Elimu na wakaelimika, ndio tunaelewa kua ni Gia ya Rais kujaribu kujitenganisha na Deni lake kubwa Kwa gia ya Huko nje mashariti ni magumu !!!.


Kwa miaka 5 anayotaka , Deni lake Litafikia Ukomo na Nchi haitakopesheka.


Sasa Ndugu yangu fikiria, Rais ajaye 2030 akute Nchi haikopesheki, Sijui atakua na Hali gan?.


RAIS Samia haifai kua Rais !!.
 
Wasiwe wanampa mic uyu bi mkubwa naona hata kusoma walicho mwandikia inakua mtiani sasa
 
Taarifa zimfikie Lucas Mwashambwa aje abubujikwe machozi.
 
Ndo shida ya kuwa na Rais ambaye hakuchaguliwa na wananchi
 
Hatulipi kumaliza deni, tunalipa ili tu qualify kukopa zaidi.

Wanatuambia tunachotaka kusikia.

Wao wanasema, we are building credit today to qualify for future loans.
 
Kama jinga eti masharti yanakua magumu like ni haki yetu kukopa ,
 
TUlipe kodi na uchaguzi mjichague hawa watu hawana akili kabisa. Deni la Mama
 
Job Ndugai alisema mkapiga spana na kumdhalilisha kwa kila aina.
 
OKTOBA TUNA ✔️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…