Baada ya DENI LA MAMA Kufikia T 107 , Rais kaja na Gia ya 'Tulipe Kodi huko nje mashariti magumu", Ukweli ni kua DENI libakaribia Kufikia !!

Inabidi serikali ibane matumizi Kwa kupunguza gharama za viongozi, kupunguza idadi ya viongozi, kuwekeza kwenye sekta zinazozalisha kuliko zisizo zalisha, kupunguza Taasis ambazo hazizalishi, kuunganisha taasis zinazofanana, kupunguza idadi ya viongozi wanaotumia magari ya serikali, kiongozi anapotumbuliwa stahili zake zipunguzwe, kuwe na uwazi kwenye matumizi ya serikali. Hali ilivyosasa hakuna ofisi ya umma ambayo haina ubadhirifu, mishahara ya watumishi iboreshwe posho zifutwe, yafanyike matumizi ambayo ni muhimu.
 
Acha mboyoyo fanya kazi tukukate kodi kama hutaki boycott bidhaa yoyote usinunue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…