Baada ya Diamond na Kiba nahisi inakuja Papii na Bella

Baada ya Diamond na Kiba nahisi inakuja Papii na Bella

Uchunjuba Punjubi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
799
Reaction score
622
Nahisi kama mziki wa Dance unataka kurudi tena juu na kama ambavyo kwenye Bongo Flavour kuna ushindani wa Diamond na Kiba basi huku kwenye Dance kutakuwa na Papii Kocha na Christian Bella, na kama ikitokea basi iwe kwa Heri sio Shari.
 
Hahahahaha! Kuna ushindani kumbe, me nilifikiri walimwengu ndio wanaowashindanisha na sio Kiba wala Dai
 
Hakuna kitu kama hiko braza
Diamond na Kiba yenyewe sku hizi isha kufa
 
Msimshindanishe Christian Bella na vitu vya kipuuzi.
 
Huyu Papii na Babaake wekeni mbali na watoto, maana siku hizi wanalindwa na Rais wa nchi hii, kuweni nao makini hawa .
 
Back
Top Bottom