GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Zako uliacha Kuzimeza lini Mpuuzi Wewe?Nenda kameze dawa zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zako uliacha Kuzimeza lini Mpuuzi Wewe?Nenda kameze dawa zako
Kama Kawaida / Desturi yangu Mkuu.Upo makini mkuu
Baada ya wewe kumaliza zote alafu bila kupata nafuuZako uliacha Kuzimeza lini Mpuuzi Wewe?
Kwahiyo kumbe Wote ni Wagonjwa au?Baada ya wewe kumaliza zote alafu bila kupata nafuu
Yes akili mingi na maono ya mbali"Kupitia Birthday Party yake hii Rafiki yangu mkubwa Haji Manara na Mimi Diamond Platnumz leo natangaza rasmi Kuhamia Yanga SC kwa Kuishabikia kwani Kwangu Mimi alipo Manara na Mimi nipo huko huko"
Chanzo: Mitandao mbalimbali
Haya Diamond Platnumz nami GENTAMYCINE nakuambia kuwa kwa Madeni makubwa uliyonayo huku TRA nao wakitaka Kodi yao ilikuwa ni lazima Ujipendekeze Kwao.
Diamond Platnumz wenye Akili Kubwa na Nyingi akina GENTAMYCINE tunajua umelazimika Kujipendekeza kuhamia huko Yanga SC kama Sharti Kuu ulilopewa na Mtunza Fedha Mkuu ( akiwa Waziri ) na Mstaafu Mmoja mwenye Ushawishi mkubwa Serikali hii ya Mama pamoja na Mwanae ( ambao Wote ni wana Yanga SC ) ili waweze Kukusaidia kwa Mama ili azungumze na wenye Kodi yao na Wasikukabe Koo ukaibika na Umasikini kukupigia Hodi na Ukaumbuka.
Kingine Diamond Platnumz tuna Taarifa kuwa Unaogopa sana jinsi Serikali ya sasa ( ya Mama ) ilivyo Jirani na Msanii Mshindani wako Harmonize ( Konde Boy ) na kumpa 'deals' nyingi za Matamasha ya Kiserikali hivyo umeamua kuja na huu Mkakati ili Wakubwa wengi wa Yanga SC na ambao wana Ushawishi mkubwa kwa Mama, Serikali yake na Chama Tawala cha CCM ili usisahaulike na Wewe uweze Kutumika na Kupendwa kama ulivyokuwa katika Serikali ( Utawala ) wa Hayati ( Baba ) aliyetuaga tarehe 17 Machi, 2021.
Tunajua Wewe ( Diamond Platnumz ) ni Kigeugeu / Mnafiki na Opportunist mkubwa kwani hata Kipindi cha Hayati ulijifanya ni mwana Simba SC kwakuwa ulijua Hayati nae alikuwa ni Mnyama ( Simba SC ) hivyo ungejionyesha ni mwana Yanga SC ingekuathiri kwa namna au nyingine kwa Fani yako, Biashara zako na mambo yako yale mengine uliyokuwa ukiyafanya na Mmoja wa Mtoto wa Mstaafu Mmoja Wewe ukiwa kama Begi lake au Punda wake wa Kutukuka.
Haya Sisi wana Simba SC ( GENTAMYCINE ) nikiwemo tunakutakia kila la Kheri huko Yanga SC unakohamia sasa ili kumfuata Rafiki yako Haji Manara ila tambua CCM ambayo pia una Uhusiano wa 85% na Yanga SC kwa mwaka 2025 Kipindi cha Kampeni itamtumia mno Msanii Mshindani wako Harmonize ( Konde Boy ) katika Kampeni zake zote na Wewe hauko kabisa katika Mipango yao kwani Mama alishakusoma Undumilakuwili ( Unafiki ) wako Kwake na kwa Watanzania tokea ukiwa Karibu / Jirani na Hayati Baba hivyo hakuna utakachokipata pamoja na huku ( huko ) Kujikomba Kwake ( Kwao )
Nisalimie sana Haji Manara sawa?