Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo
Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa akikabiliwa na kesi mbili tofauti awali alifikishwa mahakani kwa kosa la kutumia ofisi ya Serikali vibaya alipokuwa Ikulu ya nchi hiyo
Baadaye akafikishwa tena mahakamini na kusomewa shitaka la kunyanyasa wanawake kingono
Sasa je akishaapishwa Januari mwakani kuwa rais rasmi wa nchi hiyo tajiri duniani kesi hizo zitaendelea au zitasimama kwanza mpaka amaliza kipindi chake cha uongozi?
Na kama kesi hizo zitaendelea akiwa rais wa nchi akitakiwa kwenda mahakamani atahudhuria huko kwa Pilato?
Mnaojua katiba vizuri ya USA na sheria na siasa za nchi hiyo naomba mnijuze na kunisaidia kujibu mawasli yangu hayo tafadhali
Comasava