Baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi wa urais Marekani kesi mbili zake zitaendelea Mahakani?

Baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi wa urais Marekani kesi mbili zake zitaendelea Mahakani?

Ndiyo itaendelea mahakama za marekani Huwa huru.

Yaani hazipigiwi simu na mhimili wa urais kama zilivyo mahakama za Tanzagizanyika.
I see kati ya nafasi atakayobadili watendaji wakuu chap ni AG na DPP!
 
Hiyo nchi inalaana rais malaya , wananchi wake ni wabakaji kama yeye sasa haya maisha jamani hawachoki kufanya yote hayo
 
Hiyo nchi inalaana rais malaya , wananchi wake ni wabakaji kama yeye sasa haya maisha jamani hawachoki kufanya yote hayo
Serikali yao inapata Mapuato kupia huo umalaya wanakusanya kodi kwenye madanguro yote ya malaya 😄 🤣 😂
 
Back
Top Bottom