MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Simba na Yanga mkuu.Mafumbo mafumbo, mpaka mengine hayaeleweki.
Hasa ukiwa ni Masikini wa Akili huwezi kamwe Kuelewa Jambo ambalo wenye Akili Kubwa haraka mno Wameshalielewa.Mafumbo mafumbo, mpaka mengine hayaeleweki.
Kumbe ID yangu pekee hapa JamiiForums hii ya MINOCYCLINE iko BANNED? Nilikuwa sijui na Asante kwa Taarifa Kiongozi.Mzee wa ban,pole sana,why always u
Kwahyo kuongea ngonjera hizo ndio kua na akili kubwa. Nenda kule kwa great thinkers basi uandike nakala zako.Hasa ukiwa ni Masikini wa Akili huwezi kamwe Kuelewa Jambo ambalo wenye Akili Kubwa haraka mno Wameshalielewa.
Unaingizwa kingi nawe unakubali. Yaani timu imetoka kucheza mechi tarehe 4 ba tarehe 12 inatakiwa icheze mechi ya kimataifa. Huo muda wa kuweka kambi Dubai anautolea wapi?Genta katika ubora wako. Nakukubali Mzee za ndani kabisa.
hersi alisema yanga wataenda dubai.Unaingizwa kingi nawe unakubali. Yaani timu imetoka kucheza mechi tarehe 4 ba tarehe 12 inatakiwa icheze mechi ya kimataifa. Huo muda wa kuweka kambi Dubai anautolea wapi?
Kwasababu hakuna ndege ya moja kwa moja kwenda Tunisia. Kwahiyo lazima wapitie Dubai. Timu imeingia Tunisia tokea janahersi alisema yanga wataenda dubai.