MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mkiambiwa hawa Wawili ni Ndugu, wako Kimkakati zaidi na lazima Wote waigane na Wao ndiyo wanatengeneza Mamlaka na wana Nguvu na Ushawishi hata kuliko akina CCM na CHADEMA muwe mnaelewa.
Kila la Kheri wale mtakaosafiri kwenda Dubai kuweka Kambi Wiki hii Kujiandaa na Majukumu mengine ya Kimataifa ambayo bado hamjayazoea ila bado mnajifunza kwa Dotto.
Kila la Kheri wale mtakaosafiri kwenda Dubai kuweka Kambi Wiki hii Kujiandaa na Majukumu mengine ya Kimataifa ambayo bado hamjayazoea ila bado mnajifunza kwa Dotto.