Baada ya Dr. Slaa kufunua nyongeza; Sheria ya "mbwembwe" ni batili?


Mbona anaendelea kuwakumbatia. Kwani wote ni shemeji zake? Acha wamuumbue.
 
Dr Slaa,Kwa kweli Watanzania tunapaswa kukupa pongezi kwa jitihada zako za kuwa makini kwenye mambo mengi ya nyaraka hebu fikiria hawa wenzetu wa CCM na serikali yao wamefikia mahali wandhani wako juu ya Bunge,huko wanakotupeleka ni kubaya sana tamaa zao za madaraka za kutaka kuendelea kutawala nchi hii mpaka milele zitatupeleka kubaya watu watataka kunyang'anya nchi kama hawataki mkondo wa demokrasia ufanye kazi yake,Raisi Kikwete unajiumbua sana kwenye medani ya kitaifa watu wanaona IKULU ya sasa ni dhaifu kuliko kipindi chochote tangu nchi hii ipate uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…