Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Guadalajara International Airport nchini Mexico umefungwa ghafla kufuatia taarifa zisizothibitishwa kuhusu kifo cha Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kama El Mencho.
El Mencho anatajwa kuwa kiongozi wa Jalisco New Generation Cartel, moja ya makundi yenye ushawishi mkubwa katika uhalifu wa kupangwa nchini humo. Taarifa za kifo chake zimesababisha taharuki ya kiusalama, hasa katika jimbo la Jalisco ambako mtandao huo una nguvu kubwa.
Kufuatia hali hiyo, vikosi vya usalama vimetumwa kuimarisha ulinzi katika maeneo muhimu ikiwemo uwanja huo wa ndege. Safari kadhaa zimefutwa, nyingine kucheleweshwa huku baadhi ya ndege zikielekezwa katika viwanja vingine. Abiria wamelazimika kusubiri au kuondolewa katika maeneo ya uwanja kwa tahadhari.
Mamlaka bado hazijathibitisha rasmi kifo cha El Mencho wala kutoa maelezo ya kina kuhusu sababu ya kufungwa kwa uwanja huo, lakini hatua zilizochukuliwa zinaonyesha hali inachukuliwa kwa uzito mkubwa. Kufungwa kwa uwanja huo kunaweza kuathiri safari za ndani na kimataifa iwapo hali itaendelea.
====================
Mexico’s aviation network is facing a serious security emergency after the sudden closure of Guadalajara International Airport, one of the country’s busiest hubs. The shutdown follows a similar situation earlier at Puerto Vallarta Airport, suggesting a wider regional crisis rather than an isolated incident.
Authorities have not yet released an official explanation, but multiple local reports indicate a potential armed threat in or around the terminal area. Security forces were reportedly deployed in large numbers, and passengers were evacuated or held inside controlled zones as precautionary measures.
The situation appears to be linked to unconfirmed reports that Nemesio Oseguera Cervantes, known as “El Mencho,” leader of the Jalisco New Generation Cartel (CJNG), has been killed. If true, this would represent one of the most consequential blows to organized crime in Mexico in decades.
Guadalajara Airport is a strategic national gateway handling tens of millions of passengers annually and serving as a key hub for both domestic and international traffic. Any prolonged closure would ripple across Mexico’s air transport system and could affect routes throughout North America.
Images circulating on social media show abandoned luggage outside terminal areas, consistent with rapid evacuations or security sweeps, though these visuals remain unverified.
At this stage, there is no official confirmation of armed individuals inside the airport nor of El Mencho’s reported death. However, the scale of the response indicates authorities are treating the threat as credible and potentially severe.
Flights have been canceled, delayed, or diverted, and travelers are advised to avoid the area until further notice.
Source: Falco VBS