Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Huraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
We kweli hamnazo sasa bravo kwa Pombe ya nini hapo huoni kama ni aibu eti
QANTAS ni shirika lina bonge la ndege wewe unajisifu una bombadia??
Hujiskii aibu nchi inazindua bombadia??? Eti bravo
 
Mbona kama sijaelewa hapo ina maana huo uwanja una ghorofa? Kuna hilo kubwa limetua juu na vidogo vipo hapo chini
Picture ipo kwenye layout ya collage sio picture moja hiyo
 
We kweli hamnazo sasa bravo kwa Pombe ya nini hapo huoni kama ni aibu eti
QANTAS ni shirika lina bonge la ndege wewe unajisifu una bombadia??
Hujiskii aibu nchi inazindua bombadia??? Eti bravo
Mtu anaetaka mafanikio huwa hana aibu. Tumeanza na tumeanza vizuri sana. Kununua ndege saba kwa hawamu ya kwanza ni atuha kubwa sana.😀😀 Tanzania 😀😀😀
 
Back
Top Bottom