Hahahaaaaaa,Anawananga wale washingiliaji wa jiwe
Hiyo ni 747mkuu hapo ni KIA,na hiyo ndege B744,ya QANTAS imetua leo
JPM ni kifupi cha niniHuraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
Tunaongelea dude mkuu ! πππKIA hupokea many international airlines special for tourists only direct flights View attachment 759479
Ilishawahi kutua nakumbuka siku za nyuma sana, KLM B747 kama hio ilichukua abiria wa KLM wa siku mbili coz ile iliyokua inachukua hao abiria ilipata hitilafuView attachment 759475
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
Mbona kama sijaelewa hapo ina maana huo uwanja una ghorofa? Kuna hilo kubwa limetua juu na vidogo vipo hapo chiniView attachment 759475
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
We kweli hamnazo sasa bravo kwa Pombe ya nini hapo huoni kama ni aibu etiHuraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
KIA hupokea many international airlines special for tourists only direct flights View attachment 759479
Tupatie ikiwa KIAπππHii ni ya kawaida sana. Hii hata jomo kenyatta inaweza kutua
Mtabaki hivyo hivyo kwenye kale kajumba kenu ka pale ufipa.We kweli hamnazo sasa bravo kwa Pombe ya nini hapo huoni kama ni aibu eti
QANTAS ni shirika lina bonge la ndege wewe unajisifu una bombadia??
Hujiskii aibu nchi inazindua bombadia??? Eti bravo
Huraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
Mtabaki hivyo hivyo kwenye kale kajumba kenu ka pale ufipa.
Vp mbona mmepanic sasa mnampaga Pombe makalio nini ?Ulitaka asifiwe mbowe?
Mtu anaetaka mafanikio huwa hana aibu. Tumeanza na tumeanza vizuri sana. Kununua ndege saba kwa hawamu ya kwanza ni atuha kubwa sana.ππ Tanzania πππWe kweli hamnazo sasa bravo kwa Pombe ya nini hapo huoni kama ni aibu eti
QANTAS ni shirika lina bonge la ndege wewe unajisifu una bombadia??
Hujiskii aibu nchi inazindua bombadia??? Eti bravo
Fala kweliHuraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA