Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Mtu anaetaka mafanikio huwa hana aibu. Tumeanza na tumeanza vizuri sana. Kununua ndege saba kwa hawamu ya kwanza ni atuha kubwa sana.😀😀 Tanzania 😀😀😀
Ni ndege ama Takataka izo wewe?
Izo takataka alitakiwa anunue Julius Nyerere wakti ule wa karne ya 20!
Dunia ya sasa hivi ni ya Airbus n.k

Tatizo huyo mjinga kazaliwa huko bush kakulia huko bush hana exposure na dunia inavoenda ndo mana anaona izo bombadia kama vile kipofu kaona mwezi!

Yani jamaa lishamba ilo sijui waliolipigia kura walikua wana akili gani sema nimekumbuka Julius Nyerere alisema tatizo kubwa ni UJINGA na wajinga wajinga mpo wengi kiseng.e!
 
Utalii unalipa sana ila sijui tu ufukara huu utatuacha lini
Naona watalii walipe kwa card tu ziende bank direct
 



Q300 zinatumika mpaka Ulaya ni feeder planes utaenda Serengeti na A380?
 
Na hii mvua watafikaje porini?
Ndio nzuri zaidi maana wata-spend hotelini Moshi na Arusha mjini mpaka mambo yatakapokaa sawa, vijana watapata pesa mfukoni mzunguko ukiongezeka, watalii 310 ni wengi kwa miji midogo....
 



Q300 zinatumika mpaka Ulaya ni feeder planes utaenda Serengeti na A380?
Sasa ushasema feedr we makalio izo walitakiwa wamiliki Fast jet na sio national carrier kama Wings of Kilimanjaro....
Hapa tunaongelea A NATIONAL CARRIER muthafucker!
Usiniquote usen.ge tena
 
We kweli hamnazo sasa bravo kwa Pombe ya nini hapo huoni kama ni aibu eti
QANTAS ni shirika lina bonge la ndege wewe unajisifu una bombadia??
Hujiskii aibu nchi inazindua bombadia??? Eti bravo

Ni sawa kwa maoni YAKO. Lkn UKWELI ni KUWA NCHI haikuwahi KUWA NA ndege YAKE HATA ya watu 10 kwa takribani miaka 25. SASA tumeona ndege nzuri zimewasili, kwa NINI tusishangilie??
 
Ni sawa kwa maoni YAKO. Lkn UKWELI ni KUWA NCHI haikuwahi KUWA NA ndege YAKE HATA ya watu 10 kwa takribani miaka 25. SASA tumeona ndege nzuri zimewasili, kwa NINI tusishangilie??
Sasa izo ndege mama ako kule shamba ulimpotelekeza ndo atazipanda?

Maana ako kuna siku nilimuona kwenye taarifa ya habari analalamima hospitalini hakuna dawa na wewe uko hapa jamio unabwatuka bwatuka unashindwa hata kumkatia mama ako bima ya afya unashingilia ndege wakati mama ako huko shamba hata kupanda boda boda ni shughuli...

Una akili timamu kweli ww
 

Acha tufunge mjadala, coz you don't have any idea who am I!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…