Wewe unakuwanga kama wazimu. Kila post unakuwanga pili ama watatu halafu kazi ni kusema hurah JPM, hurah Tanzania yangu. Kwani huwezi sema kitu kingineHuraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
Liambie liongeze na bravo bombardia
I cant join em cuz i am a butterfly and they are speaking catterpillar languageBravo bombardia.
I know you can't fight them, so it's better you join them.
Wewe unakuwanga kama wazimu. Kila post unakuwanga pili ama watatu halafu kazi ni kusema hurah JPM, hurah Tanzania yangu. Kwani huwezi sema kitu kingine
I cant join em cuz i am a butterfly and they are speaking catterpillar language
Correction,ni Boeing 747 mkuu sio B744...mkuu hapo ni KIA,na hiyo ndege B744,ya QANTAS imetua leo
Kila la kher chifuAhaaa haaa haaa
Keep on keeping cherishing your wishful thinking and day dreams.
JPM anasonga mbele.
Kila la kher chifu
Poa chifu tule mema ya nchiPamoja kiongozi.
THIS is our country. Let's rejoice for good things that happen in our LAND. No one can do that for us.
Poa chifu tule mema ya nchi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe unakuwanga kama wazimu. Kila post unakuwanga pili ama watatu halafu kazi ni kusema hurah JPM, hurah Tanzania yangu. Kwani huwezi sema kitu kingine
Kila kitu mpaka mmtaje huyo pombe wenuHuraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
Punguza chumvi mzee...miaka 11 iliyopita tu kulikuwa na Boeing 737 - 200 yenye uwezo wa kubeba abiria 100 ambapo moja ilipata ajali ipo Mwanza ime-parkNi sawa kwa maoni YAKO. Lkn UKWELI ni KUWA NCHI haikuwahi KUWA NA ndege YAKE HATA ya watu 10 kwa takribani miaka 25. SASA tumeona ndege nzuri zimewasili, kwa NINI tusishangilie??
Kila kitu mpaka mmtaje huyo pombe wenu
Punguza chumvi mzee...miaka 11 iliyopita tu kulikuwa na Boeing 737 - 200 yenye uwezo wa kubeba abiria 100 ambapo moja ilipata ajali ipo Mwanza ime-park