Boing 747 ya British Airways inatua kila siku hapo Jomo Kenyatta Nairobi.View attachment 759475
Ndege ya QANTAS imetua KIA leo kutoka Australia ikiwa na wageni 310 ambao watakuwa Serengeti kwa siku tatu. [HASHTAG]#TanzaniaUnforgettable[/HASHTAG] #HK [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG]
tatizo sio kutua tatizo watalii wanaingiza pesa na hio ndege italipia parking fee kwa siku tatu imagine ππHii ni ya kawaida sana. Hii hata jomo kenyatta inaweza kutua
acha hasira ππππ to buy 7 aircraft kwa mpigo is not a joke sio zenu za kq mumekodisha kwa makampuni mengine na zingine ziliwashinda mukaanza kurudisha kwa wenyeweSasa ushasema feedr we makalio izo walitakiwa wamiliki Fast jet na sio national carrier kama Wings of Kilimanjaro....
Hapa tunaongelea A NATIONAL CARRIER muthafucker!
Usiniquote usen.ge tena
ww unajua kiwanja cha chato kina faida gani kiuchumi??? uliza ujibiwe uelewe sio kuropoka tuWanaenda kujenga kiwanja chato badala ya kuboresha viwanja muhimu wa uchumi. Halfu unaniambia uzalendo kwanza
magu anawaumiza sana kichwa wakenyaππ yani amewa tyt mpaka kwenye makalioUnataka wamtaje nani, Lowasa?
kutua sio tatizo hapa tunaangazia watalii inagine wametoka australia direct flight mpaka kilimanjaro na watakaa siku tatu hebu imagine πππBoing 747 ya British Airways inatua kila siku hapo Jomo Kenyatta Nairobi.
Kuna watu wana matatizo ya akili, utapata taabu sana kuwaelewesha.ππππππ
Povu XD
Ni kweli zinatumika sana kwa short range flight, haswa kwa safari za chini ya masaa 3 kama feeders.
Q300 zinatumika mpaka Ulaya ni feeder planes utaenda Serengeti na A380?
Aliye kupiga Ban Mungu ampe Maisha marefuNi ndege ama Takataka izo wewe?
Izo takataka alitakiwa anunue Julius Nyerere wakti ule wa karne ya 20!
Dunia ya sasa hivi ni ya Airbus n.k
Tatizo huyo mjinga kazaliwa huko bush kakulia huko bush hana exposure na dunia inavoenda ndo mana anaona izo bombadia kama vile kipofu kaona mwezi!
Yani jamaa lishamba ilo sijui waliolipigia kura walikua wana akili gani sema nimekumbuka Julius Nyerere alisema tatizo kubwa ni UJINGA na wajinga wajinga mpo wengi kiseng.e!
Hawa jamaa itakuwa ni wageni jf siunajua baada ya magu kushambulia jf wengi walio kuwa fb na Instagram wakapata mshauku wa kujua jf kuna nini ?? wakaanza kujiunga kama mvua .some time magu ana saidia kubusti jfPicture ipo kwenye layout ya collage sio picture moja hiyo
Hiyo kazi uliyopewa ya kuwa mmojawapo ya WATU WASIO JULIKANA umejiona umepataa sana YOUR DAY A NUMBERMtabaki hivyo hivyo kwenye kale kajumba kenu ka pale ufipa.
Isiyojulikana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwakweli watu wa awamu ya tano sijui wametokea sayari gani!!
Ni kituko mkuu, yaani kila kitu ni baba J.Isiyojulikana
Airbus unauwezo hata wakukata ticket ya bombardier.?? ππ Bombardier zimeletwa kufanya route za ndani(short route)kutokana na kutotumia mafuta sana. Bombardier CS 300 zitafanya route za ndani ya Africa. Boeing 787 zitafanya nje ya Africaππ Hapo umeongea upuhuzi mtupu. Nitajie nchi ya Africa yenye A380. Usiwe mpumbavuπ±
hahahahaha miafrikaπππwatazame wanavyomwaga mapovu na kutusiana wenyewe kwa wenyewe kisa mambo ya kipumbavu kama utuaji wa ndegeππππ...ndege zenyewe ni za ng'ambo...wenyewe wana mitungi y chang'aa wanazoziita bombadier..smh...huzuni iliojeπππ