Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Sasa ushasema feedr we makalio izo walitakiwa wamiliki Fast jet na sio national carrier kama Wings of Kilimanjaro....
Hapa tunaongelea A NATIONAL CARRIER muthafucker!
Usiniquote usen.ge tena
acha hasira 😀😀😀😀 to buy 7 aircraft kwa mpigo is not a joke sio zenu za kq mumekodisha kwa makampuni mengine na zingine ziliwashinda mukaanza kurudisha kwa wenyewe
 
Wanaenda kujenga kiwanja chato badala ya kuboresha viwanja muhimu wa uchumi. Halfu unaniambia uzalendo kwanza
ww unajua kiwanja cha chato kina faida gani kiuchumi??? uliza ujibiwe uelewe sio kuropoka tu

chato airport itachagia faida mbili kubwa
1) itafungua zaidi northern circuit tourism
2) itatumika pia kwenye transportation of minerals and fish
 
Boing 747 ya British Airways inatua kila siku hapo Jomo Kenyatta Nairobi.
kutua sio tatizo hapa tunaangazia watalii inagine wametoka australia direct flight mpaka kilimanjaro na watakaa siku tatu hebu imagine 😀😀😀
 
Unatafuta basha nini mbona kama unawashwa washwa na mm?
We unaweka picha za karne ya 20..kawadanganye uko kwenu shamba ulipowatelekeza wazazi wako
😀😀😀😀😀😀

Povu XD
387336.jpg

De_Havilland_Canada_DHC-8_Dash_8_N920HA_USAir_Express%2C_Washington_-_Ronald_Reagan_National_-_USA%2C_August_1990._%285620170480%29.jpg

Ethiopian-Airlines-Cessna-172.jpg
 
Ni ndege ama Takataka izo wewe?
Izo takataka alitakiwa anunue Julius Nyerere wakti ule wa karne ya 20!
Dunia ya sasa hivi ni ya Airbus n.k

Tatizo huyo mjinga kazaliwa huko bush kakulia huko bush hana exposure na dunia inavoenda ndo mana anaona izo bombadia kama vile kipofu kaona mwezi!

Yani jamaa lishamba ilo sijui waliolipigia kura walikua wana akili gani sema nimekumbuka Julius Nyerere alisema tatizo kubwa ni UJINGA na wajinga wajinga mpo wengi kiseng.e!
Aliye kupiga Ban Mungu ampe Maisha marefu
 
Picture ipo kwenye layout ya collage sio picture moja hiyo
Hawa jamaa itakuwa ni wageni jf siunajua baada ya magu kushambulia jf wengi walio kuwa fb na Instagram wakapata mshauku wa kujua jf kuna nini ?? wakaanza kujiunga kama mvua .some time magu ana saidia kubusti jf
 
Airbus unauwezo hata wakukata ticket ya bombardier.?? 😀😀 Bombardier zimeletwa kufanya route za ndani(short route)kutokana na kutotumia mafuta sana. Bombardier CS 300 zitafanya route za ndani ya Africa. Boeing 787 zitafanya nje ya Africa😀😀 Hapo umeongea upuhuzi mtupu. Nitajie nchi ya Africa yenye A380. Usiwe mpumbavu😱

MKULU nyakati zingine uwe unaangalia aina ya mtu wa kufanya naye mjadala. SASA hiyo AKILI ya KUTOKA kwa dada wa taifa lao la kusadikika la Insta itaelewa KWELI hizo point unazotoa? Wenyewe wamezoea matusi tu hawana walijualo.
 
hahahahaha miafrika🙄🙄🙄watazame wanavyomwaga mapovu na kutusiana wenyewe kwa wenyewe kisa mambo ya kipumbavu kama utuaji wa ndege😀😀😀😀...ndege zenyewe ni za ng'ambo...wenyewe wana mitungi y chang'aa wanazoziita bombadier..smh...huzuni ilioje🙁🙁🙁

Tena utuache
utuache kabisaaa

Tuwanyooshe hawa wa KUTOKA taifa la kusadikika la Insta kwa dada yao.
 
Back
Top Bottom