joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Watu wakitekwa na kupotea rais anaingiaje,mbona bado anabebeshwa lawama?Kwani watu wakiyekwa na kupotea rais anainiaje?
Uzuri wa JF ni kwamba unapokuwa na madude ya kuwakomoa wenzio unajiona mjanja ......siku ukitaitiwa utasikia Max Melo unaitwa au zima mtandao ......mnyoa unyolewa ......Please hapa si kule kwa Dada YENU wa taifa la kufikirika la Insta, ambako mnatukana mnavyoweza. HAPA ni AKILI tu. Kama huna go where you belong.
Neno hili nalikumbuka sana nilipokuwa cha kwanza lilitrend sana "New comer"Hayo ma new comers hapa JF yanatusumbua tu HAPA. Bora yabaki huko huko kwenye nchi YAO ya KUSADIKIKA YA Insta na dada yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwakweli watu wa awamu ya tano sijui wametokea sayari gani!!
Si ungesubiri tu ban iishe ndio urudi?Wakenya wakiwaita washamba mnatika povu tuu halafu eti mnataka kushindana na Kenya,mavi ya kuku. Yaani kutua kwa Emirates 389 na Qantas imekuwa ni khabaari ndeefu na mnamsifia Rais JPM hii ni shida sisi ni waafrika na nyinyi wa TZ ni waafrika
😀😀😀😀😀😀😀😛Ahaaa haaa haaa
Povu la nini?
Yaani kushindwa kuandamana kwenye imaginary country of Insta ndo hasira zoote unazirusha kwa yeyote aliye mbele YAKO.
Ahaaa
Relax so as JPM can forge ahead.
Partnership tuliingia 2002 nime-cross check mtandaoniTuliingia ubia na SA 1997 ndugu, kama sikosei
Bravo Polepole,Huraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
Thanks, Indeed I heard this quote 20 yrs ago from one of my lecturer, I was not aware of the Author. It is unethical not to cite the author.JIM ROHN's quotation already quoted by someone here, Nice.
Zilishusha wageni kenya, halafu wanakuja huku na magari ya watalii. Juhudi za magu za kununua ndege msizibeze. Itasaidia kuonesha tz tuko na uwanja mizuri ya ndege kubwa kutua..hatua moja huanzisha inginehivi miaka iliyopita hawa watalii walikua wanakuja kwa miguu toka ulaya au ndege zilikua azitui kwenye huo uwanja?
Huraaa
Bravo KIA
Bravo my President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
Hata hakuna kitu ya kusema ...kq ime wamliza ..