Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Baada ya Emirates JNIA leo limetua Qantas KIA

Please hapa si kule kwa Dada YENU wa taifa la kufikirika la Insta, ambako mnatukana mnavyoweza. HAPA ni AKILI tu. Kama huna go where you belong.
Uzuri wa JF ni kwamba unapokuwa na madude ya kuwakomoa wenzio unajiona mjanja ......siku ukitaitiwa utasikia Max Melo unaitwa au zima mtandao ......mnyoa unyolewa ......
 
Wakenya wakiwaita washamba mnatika povu tuu halafu eti mnataka kushindana na Kenya,mavi ya kuku. Yaani kutua kwa Emirates 389 na Qantas imekuwa ni khabaari ndeefu na mnamsifia Rais JPM hii ni shida sisi ni waafrika na nyinyi wa TZ ni waafrika
 
Si ungesubiri tu ban iishe ndio urudi?
 
Ahaaa haaa haaa
Povu la nini?
Yaani kushindwa kuandamana kwenye imaginary country of Insta ndo hasira zoote unazirusha kwa yeyote aliye mbele YAKO.
Ahaaa
Relax so as JPM can forge ahead.
😀😀😀😀😀😀😀😛

Wavumilie tu watoe sumu ya kususiwa na watanzania 26 April
 
hivi miaka iliyopita hawa watalii walikua wanakuja kwa miguu toka ulaya au ndege zilikua azitui kwenye huo uwanja?
 
hivi miaka iliyopita hawa watalii walikua wanakuja kwa miguu toka ulaya au ndege zilikua azitui kwenye huo uwanja?
Zilishusha wageni kenya, halafu wanakuja huku na magari ya watalii. Juhudi za magu za kununua ndege msizibeze. Itasaidia kuonesha tz tuko na uwanja mizuri ya ndege kubwa kutua..hatua moja huanzisha ingine
 
Mimi sitaongea

196895.jpg
00001945.jpg
kq-cargo-408x245.jpg
 
Back
Top Bottom