eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Hawa jamaa itakuwa ni wageni jf siunajua baada ya magu kushambulia jf wengi walio kuwa fb na Instagram wakapata mshauku wa kujua jf kuna nini ?? wakaanza kujiunga kama mvua .some time magu ana saidia kubusti jf
Hayo ma new comers hapa JF yanatusumbua tu HAPA. Bora yabaki huko huko kwenye nchi YAO ya KUSADIKIKA YA Insta na dada yao.