Baada ya fungate ya utawala mpya kuisha, 'vita' imeanza rasmi

Au kifo
 
Anapswa kujua ni wapi watanzania walikwazika na sababu ni mini.Moja ya mambo hayo ni pamoja na:
1Katiba, hii ilisababisha watu kuamini katika mtu badala ya mifumo

2.Mikutano ya wazi kwa vyama mbadala, hii iliwanyima watu taarifa sahii za utendaji wa Serikali.

3. Vyombo vya habari kufungiwa nk

Sasa anapoongea na umma akiwa hana haadi sahihi kwa wananchi tunaanza kuhisi kwamba tunarudi Misri, sisi kazi yetu ni kumshitakia Mungu.
 
Katika siku 100 kwanza za Rais SSH alipata uungwaji mkono mkubwa kutoka makundi mengi kwa muda mfupi. Ilikuwa kama nchi ndo imetoka kupata uhuru kutoka kwa mkoloni. Kumkosoa katika jambo lolote lilikuwa kosa kubwa sana maana ungepewa majina
Atakimbia, namshauri aachane na 2025- critique ni nyingi sana ...
 
Get lost! who the hell do you think you are?? God or?
Psalm 126
when the LORD brought back the captivity of zion, we were like those of dream, Then our mouth was filled with laughter, and our tongue with singing. They said among the nations "The LORD has done great things for them"
 
Akijifanya mgumu haambiliki hakika nawaambia KILICHOMTOA MAGUFULI NDICHO KITAKACHO MTOA SAMIA watanzania sio mabwege hakika nawaambieni

Kifo cha MAGUFULI inapaswa kuwa funzo kubwa kwake mwache aendelee kushupaza shingo
 
Anaonekana ni mtu anayevutika kirahisi na anayependa kumfurahisha kila mtu.

Akiendesha nchi kihivyo, atakuwa na wakati mgumu sana!

Kuongoza nchi inahitaji uwe kichwa ngumu kiaina..
Hakika Queen [emoji219] Ni dhaifu Sana, Anapenda Sifa Kama Mtangulizi Wake, anaitaka Kuonekana na Yeye anaweza, Hauwezi Kumfraisha Kila Mtu Aiseeeh
 
Usijiite hero,jiite Zero.
 
Lengo la vyama vya upinzani ni kutengeneza mazingira ya kushika Dola tu,

Hawana uchungu wa matakwa ya wananchi wa kawaida,

Ndio maana kwenye hoja zao za kudai katiba mpya utasikia wakidai tume huru ya uchaguzi.

Tume huru ya uchaguzi ni hitaji la kisiasa sio la mkulima au mfugaji.

Wananchi wanapaswa kutofautisha kati ya pumba na mchele.

Kati ya tapeli wa kisiasa na mtetezi halisi.
 
Udhaifu wake ni kuruhusu demokrasia au? Kwa hiyo strongman ni kupiga chini demokrasia au? Wewe ni hamnazo kama mwendazake
Mimi sijamwita hivyo bali nyie michadema kabla ya JPM au nikuoneshe uzi huo! Malisa, Bak, salary slip etc
 
U.T.I sugu imempanda kichwani mama,asipotibiwa haraka ataendelea kuropoka kama shetani jiwe
 
P
Samia akifikri ataendesha nchi kwa kuwafurahisha chadema atafeli mapema sana!
. Amuulize JK, mpaka vijana wadogo kama kina Mnyika wakimwita dhaifu!
Pamoja na maneno yao ya kuudhi mheshimiwa kikwete alifanikiwa kujenga shule za kata nchi nzima kujenga barabara ,hopital vyuo vikuu nk.sijui hawa wanashindwaje?
 
Anaonekana ni mtu anayevutika kirahisi na anayependa kumfurahisha kila mtu.

Akiendesha nchi kihivyo, atakuwa na wakati mgumu sana!

Kuongoza nchi inahitaji uwe kichwa ngumu kiaina..
Hasa Tanzania. Hii nchi ngumu sana, kuwa mbogo ndiyo strategy nzuri. Mama alikuwa anatakiwa akazie palepale kwa Magu.
Walianza kumuendesha kwa kutumia mtandao, ameonyesha her true color, wameanza kumtosa tena.
 
..alitakiwa auwe na kubambikia kesi kumzidi Jiwe?!
 
Akijifanya mgumu haambiliki hakika nawaambia KILICHOMTOA MAGUFULI NDICHO KITAKACHO MTOA SAMIA watanzania sio mabwege hakika nawaambieni

Kifo cha MAGUFULI inapaswa kuwa funzo kubwa kwake mwache aendelee kushupaza shingo
🤣🤣🤣🤣

Wabongo kwa vitisho vya nyuma ya keyboard mko vizuri.

Kmmmk, mkiambiwa tokeni hakuna pua ya mtu itakayoonekana🤣
 
Utopolo kama Utopolo ngumu kuachwa bila kukosolewa hata sisi Mataga tulifurahi kwa aina ya maswali na majibu. Mwadela, Gawiza, hakuna mwenye upekee kwa Mungu hongera zao na kafara ya Injinia huko Dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…