Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!

Mweneznu hapa nipo hoi kwa chekooo! Mbavu zaniumaje sasa! Nimepewa yanayojiri bongo sinammbavu mie!

Kuna ndugu yangu mmoja, ana on and off bf ambae nilisoma nae mie, kaenda age kidogo ila bado hajatoka kimaisha wala nini. Mwanaume hana hela ila ana balls balaaa! Ananiendesha mpaka mie kubwa la maadui shemeji yake! Ana niboss around na ugaidi wangu wote! Unaweza kujibu kwa nyodo NOO! Akakutizama usoni na kuuliza Why? Na utafanya nakwambia kuepusha shari!

Kuna siku alitutoa akanilipisha bili sina hamu nae! Nilinunaaa kama cobraaaaa! Na nililipa mbona! Nilijuuuta kumfahamu! Sasa huyu mtu tunamuita Osokoni kwa mambo yake, na huyo ndugu yangu sielewi anampenda au hampendi ila mara nyingi akimuacha anamganda kama luba warudiane!

Sasa hapo kati waliachana na osokoni, akapata kibwana insurance brooker, comission kibao, akampotezea osokoni, osokoni hakutaka kushindwa easly aliput a fight si kidogo, kungekuwa na court of appeal ya mapenz angeenda ku appeal! Ila ikafika mahala akaamua kukaa pembeni! Na Fyi Osokoni haongi senti tano kipande! Utafaidi shower ya hoteli tu! Kantangazeeee! Na kuku ulizokula labda!

Sasa mambo hayakwenda alivotaka, akaachana na brooker, akawa idle, badae akajirudisha kwa Osokoni. Osokoni alichomfanya anajuuuta kumfahamu! Akamwambia Osokoni wakutane waongee, akakubali akamwambia wakutane hoteli, room wajadiliane na kama kusameheana wasameheane!

Loooooh! Lahaula lakwata! Kufika room, kmkuta Osokoni kama alivozaliwa, kamdaka juu juu! Game on! Akajua karahisishiwa sentiments za kujieleza na kumlamba miguu! Raund 4 waambiwa! Akajua soo limeisha, ukurasa mpya! Mhhhhhhhh! Game lilivoisha kabla hata hajaoga, akatimliwa kama mbwa! Hahahahahahaaaaaaaa! Its not a laughing matter! Vaa pichu uende fatsaa! Osokoni bwana! Hahahaaa! Akajua utani, mwenzie yupo serious, alivoona anangaa sharubu akamtupia pochi nje! Ndo kutoka kwa aibu! Hahahahahaaaaaaa! Kajipangusa makalio kwa aibu huyooooo kapitoa walk of shame of all times! Hahahaaaaa! I insist its not a laughing matter and im ashamed of my self for laughing sensitive matter like this!

Waambiwa Osokoni alirudi kuoga, kawasha mziki kalala fofofoooooooo! Najuuuuuuuuuta! Kumfahamu! Hapa nangojewa nirudi nitulie nitoe tamko, wanasubiri wa Yuda tutoe jibu tumfanyaje mtu huyu Osokoni! Ila wanawake muwe makini na ma X! Aaaaaaaah! Mjini kuna mambo kijijini sirudi ng'oooooo!
 
mhhhhhhh majanga osokoni kalipa kisasi mwambie bestito aachane nae kimoja wa nini huyo osokoni kutunza hajui na bado unamganda achilia mbali kamdhalilisha
 
ILA ni good performer..... Binafsi Siwezi kumfanyia mtu kitu kama hicho
 
Osokoni anajivunia game yake...kinachomrudisha shosti kwake ndio icho tu hajasuguliwa uzuri sehem nyingine
 
sio tu gama na kuwa abusive pia..wanawake wengi ni 'mandondocha' wa wanaume abusive na wanaopiga game vizuri...huyo msichana hata aolewe na nani huyo jamaa atajipigia tu daily...

Umeona eeeh......ukiwa gentleman wanakuonea
 
Hahaaaa!shost afanye yake tu aachane na Osokoni la sivyo ataishia kudhalilishwa tu!
 
sio tu gama na kuwa abusive pia..wanawake wengi ni 'mandondocha' wa wanaume abusive na wanaopiga game vizuri...huyo msichana hata aolewe na nani huyo jamaa atajipigia tu daily...

Aisee.... :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 


Una kipaji cha kujieleza. Sijui una mpango gani wa kutumia hii talent yako. Mwingine yangemtokea hayo hayo asingeweza kuielezea kama ulivyofanya. Unaeleza hadi mtu anapata picha. Make use of your talent.

Kuhusu Osokoni, ma X wengine ni XXL. Ukishatoka hapo, endelea na mambo mengine usirudi nyuma tena.
 
Osokoni kiboko........khaaaa!!!!.....
 
tumewahi jadili in the past why victim of abuse always return to their abusers....nafikiri unaikumbuka...that was the point

Naomba kufafanuliwa hapa....abuser anakuwaje?
 
tumewahi jadili in the past why victim of abuse always return to their abusers....nafikiri unaikumbuka...that was the point

there must be some bitter-sweet stuff, au utamu unazidi kwa hawa abuser and abused

being strong alpha type could be the best reason for "baby come back"
 
Kuna anachopata kwa Osokoni ambacho hakukipata kwa broker na hadhani kama atakipata kwingine!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…