Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

Una kipaji cha kujieleza. Sijui una mpango gani wa kutumia hii talent yako. Mwingine yangemtokea hayo hayo asingeweza kuielezea kama ulivyofanya. Unaeleza hadi mtu anapata picha. Make use of your talent.

Kuhusu Osokoni, ma X wengine ni XXL. Ukishatoka hapo, endelea na mambo mengine usirudi nyuma tena.

Lara 1 alipata huu ujuzi kutoka "Incredible India"
 
Hahahaaaaa! Navomjua osokoni atakuwa alipanga hili na halmashauti ya kichwa chake mda mrefu, ilipotokea opportunity ya kutekeleza, kwishaaaaa kazi!
 
Kuna anachopata kwa Osokoni ambacho hakukipata kwa broker na hadhani kama atakipata kwingine!!!
Jamni ndo Osokoni amtoe race namna hio baada ya kufaidi tundi!
 
hahhaaaab walahi yaani VINNE???? hahaaH
KUNA WANAUME MSOKOTO SANA

LOOOH AFU UNAKUTA HAJAMNUNULIA HATA CHIPS KAVU NA MAJI YA 400 YALE MADOGO
kudadekiiiiiiiiiii mwambie nduguyo kama vita kapgwa

AKAJIPANGE AMKOLI OSOKONI AENDE HOTEL AMUITE WAPIGE KAZAA ALAFU AMFUKUZEEE




i think GAME OVER!!!!
 
Mbona hiyo ndogo sana, kuna mdada alikojolewa mkojo wa kawaida mwili mzima then akatimuliwa.
 
Back
Top Bottom