DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Una kipaji cha kujieleza. Sijui una mpango gani wa kutumia hii talent yako. Mwingine yangemtokea hayo hayo asingeweza kuielezea kama ulivyofanya. Unaeleza hadi mtu anapata picha. Make use of your talent.
Kuhusu Osokoni, ma X wengine ni XXL. Ukishatoka hapo, endelea na mambo mengine usirudi nyuma tena.
Lara 1 alipata huu ujuzi kutoka "Incredible India"