Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

Baada ya game atimliwa vaa pichu uende! makubwaa!

Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!

Mweneznu hapa nipo hoi kwa chekooo! Mbavu zaniumaje sasa! Nimepewa yanayojiri bongo sinammbavu mie!

Kuna ndugu yangu mmoja, ana on and off bf ambae nilisoma nae mie, kaenda age kidogo ila bado hajatoka kimaisha wala nini. Mwanaume hana hela ila ana balls balaaa! Ananiendesha mpaka mie kubwa la maadui shemeji yake! Ana niboss around na ugaidi wangu wote! Unaweza kujibu kwa nyodo NOO! Akakutizama usoni na kuuliza Why? Na utafanya nakwambia kuepusha shari!

Kuna siku alitutoa akanilipisha bili sina hamu nae! Nilinunaaa kama cobraaaaa! Na nililipa mbona! Nilijuuuta kumfahamu! Sasa huyu mtu tunamuita Osokoni kwa mambo yake, na huyo ndugu yangu sielewi anampenda au hampendi ila mara nyingi akimuacha anamganda kama luba warudiane!

Sasa hapo kati waliachana na osokoni, akapata kibwana insurance brooker, comission kibao, akampotezea osokoni, osokoni hakutaka kushindwa easly aliput a fight si kidogo, kungekuwa na court of appeal ya mapenz angeenda ku appeal! Ila ikafika mahala akaamua kukaa pembeni! Na Fyi Osokoni haongi senti tano kipande! Utafaidi shower ya hoteli tu! Kantangazeeee! Na kuku ulizokula labda!

Sasa mambo hayakwenda alivotaka, akaachana na brooker, akawa idle, badae akajirudisha kwa Osokoni. Osokoni alichomfanya anajuuuta kumfahamu! Akamwambia Osokoni wakutane waongee, akakubali akamwambia wakutane hoteli, room wajadiliane na kama kusameheana wasameheane!

Loooooh! Lahaula lakwata! Kufika room, kmkuta Osokoni kama alivozaliwa, kamdaka juu juu! Game on! Akajua karahisishiwa sentiments za kujieleza na kumlamba miguu! Raund 4 waambiwa! Akajua soo limeisha, ukurasa mpya! Mhhhhhhhh! Game lilivoisha kabla hata hajaoga, akatimliwa kama mbwa! Hahahahahahaaaaaaaa! Its not a laughing matter! Vaa pichu uende fatsaa! Osokoni bwana! Hahahaaa! Akajua utani, mwenzie yupo serious, alivoona anangaa sharubu akamtupia pochi nje! Ndo kutoka kwa aibu! Hahahahahaaaaaaa! Kajipangusa makalio kwa aibu huyooooo kapitoa walk of shame of all times! Hahahaaaaa! I insist its not a laughing matter and im ashamed of my self for laughing sensitive matter like this!

Waambiwa Osokoni alirudi kuoga, kawasha mziki kalala fofofoooooooo! Najuuuuuuuuuta! Kumfahamu! Hapa nangojewa nirudi nitulie nitoe tamko, wanasubiri wa Yuda tutoe jibu tumfanyaje mtu huyu Osokoni! Ila wanawake muwe makini na ma X! Aaaaaaaah! Mjini kuna mambo kijijini sirudi ng'oooooo!


Huyo jamaa anaweza kuuwa mtu ni mtu hatari sana hana ubinadamu,,,,,,,ladies be careful !!!!!
 
Hujui rules Osokoni?
Tumekatazwa kuzungumzia ndoa mpaka ipite Miaka mi3 ya uchumba sugu.

ha ha haaaa inayoambatana na haki zote za kindoa kasoro kukufukuza kabla hujaoga!!!!!!!
 
Nimepigwa Ban ya miezi mitatu baada ya kutoa maoni yangu binafsi kwamba hawa modeators wenye elimu ndogo hawawezi kuongoza elimu kubwa, yaani mhitimu wa kidato cha sita hawezi kuhariri maoni ya watu wenye phd humu ndani, masters au degree.

Mara nyingi watu wanapigwa ban kwasababu za kipuuzi, ID yangu ya MCHUNGUZI HURU iliyoonganishwa na ya SUPU YA MAWE zimepigwa ban ya mwaka mmoja kwa kosa la kuuliza mishahara ya moderators. KOSA LANGU NILIPI?

Hawa moderators waakili ndogo sana, na akili yangu ni kubwa ndiomaana mara zote tumekuwa hatuelewani. Wengi hamuwapendi hawa moderators ila kwakuwa watanzania ni waoga ndiomaana hamtaki kusema ukweli. siogopi ban as long as nasimamia haki.

Baada ya kuhoji uwepo wa moderators wenye elimu ndogo wanaorekebisha watu wenye elimu kubwa na mawazo makubwa ambayo kidato cha sita hawayajui nikapigwa ban, moderator huyo mwenye elimu ya kidato cha sita hajatoa sababau ya msingi ya mimi kupigwa ban ila nimeandikiwa hivi

''You have been banned for the following reason:
Huwezi ukatuendesha ama kupanga utakacho wewe ndicho kiwe Kigezo cha kufanya kazi! Pumzika!

Date the ban will be lifted: 19th August 2014''

Moderator huyo mwenye elimu ya kidato cha sita hajaniambia kosa langu ni lipi ila ametoa maneno ambayo yanaonyesha kwamba hawataki kukosolewa.

MODERATORS WA JAMIIFORUMS WAKAONGEZE ELIMU.
 
Mwanaume bastola la maana eti, hata kama huna hela na bastola la maana unalo unajua kujaza risasi na kuvuta trigger vizuri mbona kazi unayo!!! Ma x kila kukicha wanakutafuta!!!!
 
Eti kubwa la maadui lara 1, for the record....iyo Kantangazeee ndo nini hapo?
 
Last edited by a moderator:
Waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba hao...chombo kimepata suka hapo ni on & off hadi kufa
 
Back
Top Bottom