Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ni kwamba hayo mambo ya kujaribu kudiverge vijana na jamii kwa kufabricate matukio ya ngono Wale Gen Z wao walishavuka hiyo level.
Kwa sasaa genz wao wako bize na ku advance teknolojia tumizi na level za anga za mbali.
Hii mchezo na movie za connections zingefanya kazi kwa wabongo au waganda.
Ingawa walijitahidi kulisuka kweli kweli😆😆