Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha

Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari.

Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.

Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa muziki huo amesema ana mtoto mmoja mwenye umri wa miaka kumi na kwamba taarifa za kuwa Flora amejifungua anazisikia kama watu wengine.

"Nina mtoto mmoja, nina mtoto mmoja anaitwa Lizy na kama miaka 10 hivi. Wewe ndo unanieleza mimi kama amejifungua, kama amejifungua ni jambo jema na jambo la kumshukuru Mungu," Mbasha alikiambia kipindi cha Sunrice cha Times FM.

Kazi ipo hapo !
 
Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari.
Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye
amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.

Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa muziki huo amesema ana mtoto mmoja mwenye umri wa miaka kumi na kwamba taarifa za kuwa Flora amejifungua anazisikia kama watu wengine.
“Nina mtoto mmoja, nina mtoto
miaka 10 hivi. Wewe ndo unanieleza mimi kama amejifungua, kama amejifungua ni jambo jema na jambo la kumshukuru Mungu,” likiambia kipindi cha Sunrice cha Times FM.

Mbasha nae aache utoto, mbona sura ni yake kabisa!! mama mtoto funguka ili mtoto asiendelee kuwa gunzo kwenye mitandao.
 
Dah dogo angekubaliwa na Gwajima ingekua poa,maana dogo anazaliwa dingi ana chopa. Hizi hesabu za huyu mama zinamkata.
 
Mbasha mwenyewe huyo mtoto mmoja tu "inasemekana" hamuhudumii itakuwa wa pili.......
 
Mbasha mwenyewe huyo mtoto mmoja tu "inasemekana" hamuhudumii itakuwa wa pili.......

atahudumia vipi wa pili wakati kasema siwake. mimi ni mmoja wa watu wasio amini kama kweli flora na gwajima wana mahusiano ya kimapenzi na nasikitika sana namna ndoa yao inavyopita kwenye misukosuko mikubwa na wakiwa wanaishi maisha ua wakovu. lakini kama flora kajifungua na mbasha hajuwi hii sasa ni issue nyingine.ingawa hainishawishi kuamini kuwa ni mtoto wa gwajima lakini kuna kila sababu ya kusadiki kuwa hao wawili wana matatizo makubwa sana hakika wanastahili kumwomba sana mungu wao awsaidie ktk hili. swali la kujiuliza ni kwamba, hivi toka wameingia kwenye mzozo wamewahi kuishi wote?
 
Mwenyezi mungu amuondole jicho la husda huyu mtoto,inauma sana kumuona mtoto anapitia aibu kama hii....
 
Dah dogo angekubaliwa na Gwajima ingekua poa,maana dogo anazaliwa dingi ana chopa. Hizi hesabu za huyu mama zinamkata.

halafu dogo kazaliwA tu tayari ashakua maarufu Tanzania bila shaka atakuja kua bonge la celebrity.
 
Flora malay@ sana, mlokole gani anajipodoa hivyo na kuvaa nguo za kuonyesha chup1 yake...isitoshe kaanza kutiwa na Gwajima muda sana hadi mumewe alishaanza kumweleza mapema aache, tatizo Flora mhuni sana, na anatumia ulokole feki kama Gwajima kuficha umalay@ wake....Pia wala sio mwimbaji mzuri...hajui kuimba chochote...!!!
 
Back
Top Bottom