Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha

Baada ya Gwajima, Mbasha Nae Akikana Kichanga Kilichozaliwa na Flora Mbasha

Huyo mbasha mwenyewe kalalamika dunia nzima, eti kisa mke wake kamegwa. Hii dunia wanaume wote wangekuwa kama yeye ingekuwa balaa.

Mwanaume si kuwa na balls???
 
Mwamuzi mkuu ni DNA.Flora akikataa DNA basi, ukweli umejulikana.Akukubali DNA kwa urahisi Gwajima hahusiki.
 
angalia sura ya mtoto na gwajima kama zinafanana hivi

Hizo picha za mtoto zinazoenezwa kwenye mitandao siyo za mtoto wa Flora! Ni katika kumchafua yeye na mchungaji Gwajima ndipo wakatafuta picha angalau zinazoshabihiana na wahusika!
 
Hizo picha za mtoto zinazoenezwa kwenye mitandao siyo za mtoto wa Flora! Ni katika kumchafua yeye na mchungaji Gwajima ndipo wakatafuta picha angalau zinazoshabihiana na wahusika!

tupe picha unazojua wewe
 
atahudumia vipi wa pili wakati kasema siwake. mimi ni mmoja wa watu wasio amini kama kweli flora na gwajima wana mahusiano ya kimapenzi na nasikitika sana namna ndoa yao inavyopita kwenye misukosuko mikubwa na wakiwa wanaishi maisha ua wakovu. lakini kama flora kajifungua na mbasha hajuwi hii sasa ni issue nyingine.ingawa hainishawishi kuamini kuwa ni mtoto wa gwajima lakini kuna kila sababu ya kusadiki kuwa hao wawili wana matatizo makubwa sana hakika wanastahili kumwomba sana mungu wao awsaidie ktk hili. swali la kujiuliza ni kwamba, hivi toka wameingia kwenye mzozo wamewahi kuishi wote?

Mkuu, angalia hizi video mbili hapa chini, moja ni ya Mbasha baada ya kutoka gerezani, na ya pili ni ya baba yake Mbasha. Ukizisikiliza kwa makini na kutafakari, utagundua kabisa kuna kila aina ya mazingira kuwa Frola ana mwanaume mwingine. Na kwangu mimi sishangai sana hilo, kwa sababu hawa watu wawili waalioana wakiwa bado wadogo sana, hivyo maisha ya ujana hawakuyaona pengine ndio maana Frola kakubali shetani amuongoze.


[video=youtube_share;fUAGeSf63Ps]http://youtu.be/fUAGeSf63Ps[/video]

[video=youtube_share;Q_oy76SK8XM]http://youtu.be/Q_oy76SK8XM[/video]
 
Hajakata kuwa mtoto sio wake,yeye kasema kuwa alikuwa hana taarifa ya mtoto kuzaliwa kwa sababu wako kwenye ugomvi..
Flora acha kuwa mwanamke mpumbavu,huyo ni mtoto kichanga ya nini kumpiga mapicha kumrusha kwenye social media wakati unajua state yako kwa sasa
 
Back
Top Bottom