angalia sura ya mtoto na gwajima kama zinafanana hivi
halafu dogo kazaliwA tu tayari ashakua maarufu Tanzania bila shaka atakuja kua bonge la celebrity.
Aisee pua ya gwajima kabisa
halafu dogo kazaliwA tu tayari ashakua maarufu Tanzania bila shaka atakuja kua bonge la celebrity.
halafu dogo kazaliwA tu tayari ashakua maarufu Tanzania bila shaka atakuja kua bonge la celebrity.
angalia sura ya mtoto na gwajima kama zinafanana hivi
Yule mtoto ni gwajima mtupu!
angalia sura ya mtoto na gwajima kama zinafanana hivi
Hizo picha za mtoto zinazoenezwa kwenye mitandao siyo za mtoto wa Flora! Ni katika kumchafua yeye na mchungaji Gwajima ndipo wakatafuta picha angalau zinazoshabihiana na wahusika!
tupe picha unazojua wewe
atahudumia vipi wa pili wakati kasema siwake. mimi ni mmoja wa watu wasio amini kama kweli flora na gwajima wana mahusiano ya kimapenzi na nasikitika sana namna ndoa yao inavyopita kwenye misukosuko mikubwa na wakiwa wanaishi maisha ua wakovu. lakini kama flora kajifungua na mbasha hajuwi hii sasa ni issue nyingine.ingawa hainishawishi kuamini kuwa ni mtoto wa gwajima lakini kuna kila sababu ya kusadiki kuwa hao wawili wana matatizo makubwa sana hakika wanastahili kumwomba sana mungu wao awsaidie ktk hili. swali la kujiuliza ni kwamba, hivi toka wameingia kwenye mzozo wamewahi kuishi wote?
Hata nikikuwekea utaamini? suala hapa ni kwamba hiyo picha si ya mtoto wa Flora period!