baada ya haina ushemeji ya manfongo nini kipya tutegemee

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
kijana aliyekuja vizur kweny mziki wa singeli nakuwaaminisha watu kuwa kuna mziki singeli
ila nachojiuliza ana nini kipya ambacho anaanda baada ya haina ushemeji sitegemei kuna nyimbo nyingine itahit zaidi ya haina ushemeji pesa anazopata aweke vizur maana nimesikia akibwabwaja kuwa mziki wao ndo umeshika sasa angalie wasanii wenzie walikuja kwa nyimbo moja ikahit na wakashindw kuendelea hiyo yote ni kujisahau
bado sijaona mziki wa singeli una impact yoyote baada ya haina ushemeji nazani itarudi huk huko uswahilini na mziki huu utabaki tu kama vigodolo
 
Una chuki tu na maendeleo ya singeli.
Kama ulikua hujui huu mziki unamashabiki wengi kuliko wanaofata hits.
Pia hata diamond mlimtabiria hivyi na mpaka sasa yuko vizuri.
 
Kinacho fuata ni kugombana na kina mama wema tuu kwa sasa
 
Singeli is a passing fad.

Man Fongo is a one hit wonder.

Bookmark this post.
Nakubaliana na wewe kuhusu jamaa kuwa a one hit wonder,ila hilo la kuwa. A passing fad naweka akiba ya maneno maana naona kama ni a 50/50 chance,nahisi inategemeana na upepo utakapaolekea
 
Sholo mwamba ndo msanii anayeimba singeli inayoeleweka ,ila tu ndo hajulikani huko mikoani
 
mtoa post embu sikia hii ngoma hapa then ukimaliza futa post yako. kibaka .
 
Kama ulianza kusikiliza singeli kupitia kwa hainaga ushemeji basi ujue hivyo sio vitu vyako, umepotea njia ,utuachie wenyewe wazee wa singeli pashandu, na singeli ndo asili yetu watu wa uswazi [HASHTAG]#mshamba[/HASHTAG] hawezi kuelewa
 
Singeli ni mziki wenye nguvu sana huku uswahilini ndani ndani, kuliko hata hiyo bongo fleva, bahati mbaya siku hizi vigodoro hamna lakn 40% ya miziki ktk vigodoro singeli, 30% taraabu, 10% vigoma vya kizaramo na 20% bongo fleva.
 
Huyu atakuwa kama yule KAZI YANGU YA DUKANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…