Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
kijana aliyekuja vizur kweny mziki wa singeli nakuwaaminisha watu kuwa kuna mziki singeli
ila nachojiuliza ana nini kipya ambacho anaanda baada ya haina ushemeji sitegemei kuna nyimbo nyingine itahit zaidi ya haina ushemeji pesa anazopata aweke vizur maana nimesikia akibwabwaja kuwa mziki wao ndo umeshika sasa angalie wasanii wenzie walikuja kwa nyimbo moja ikahit na wakashindw kuendelea hiyo yote ni kujisahau
bado sijaona mziki wa singeli una impact yoyote baada ya haina ushemeji nazani itarudi huk huko uswahilini na mziki huu utabaki tu kama vigodolo