Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Unakuta kabisa mtoto wa kiume anasema apewe maua yake.. unashangaa.... Unaaangalia unasema hiiiiiiii.... Mtoto wa kiume anaomba apewe maua?
Siku zijazo si atasema apewe na shanga kabisa? Sisi wakati tunakua ndo tulikuwa wanawake tunawapa maua. Siku hizi mtoto wa jinsia me anataka apewe maua kama pongezi. Tutafika kweli?