Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Serikali iruhusu umiliki wa silaha ili ukikutana na wa hivyo umlambe ya kichwa.Unakuta kabisa mtoto wa kiume anasema apewe maua yake.. unashangaa.... Unaaangalia unasema hiiiiiiii.... Mtoto wa kiume anaomba apewe maua?
Siku zijazo si atasema apewe na shanga kabisa? Sisi wakati tunakua ndo tulikuwa wanawake tunawapa maua. Siku hizi mtoto wa jinsia me anataka apewe maua kama pongezi. Tutafika kweli?
Mimi nitawagonga kila sehemu nikiona mnaleta tabia zenu za kingese... Nawachukia sana nyie... Mna uchafu mwingi sanaWewe ndo shoga sasa
Maua ni zawadi ya heshima. Majina yana athari kubwaUnakuta kabisa mtoto wa kiume anasema apewe maua yake.. unashangaa.... Unaaangalia unasema hiiiiiiii.... Mtoto wa kiume anaomba apewe maua?
Siku zijazo si atasema apewe na shanga kabisa? Sisi wakati tunakua ndo tulikuwa wanawake tunawapa maua. Siku hizi mtoto wa jinsia me anataka apewe maua kama pongezi. Tutafika kweli?
Yaani wanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogoWabongo kwa kutumia akili nyingi katika vitu vya kijinga tupo vizuri.
Ndio Ugreat thinker tuliochaguaYaani wanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo
Huo usemi wewe ndo unauchkulia hivyo , na siku zote kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake...wewe inaonekana unawaza sana uchoko . Mtu anaposema nipeni mama yangu au umpeni maua yake n kwamba mpeni sifa zake ....vitu zingine sio lazma uanzishe uzi tumia busara mkuu.Unakuta kabisa mtoto wa kiume anasema apewe maua yake.. unashangaa.... Unaaangalia unasema hiiiiiiii.... Mtoto wa kiume anaomba apewe maua?
Siku zijazo si atasema apewe na shanga kabisa? Sisi wakati tunakua ndo tulikuwa wanawake tunawapa maua. Siku hizi mtoto wa jinsia me anataka apewe maua kama pongezi. Tutafika kweli?
Ndo mwendelezo wa upuuzi huo huo. Zamani sisi tunakua ilikuwa ngumu kusikia watu wanaimba nyimbo za hovyo kama hizi.Out of topic "kuna nyimbo kaimba sijui daimondi Ile anawambia masela wanyanyue tisheti aone Boxa,nikasema hata kama ni liriksi wat the f*ck