Ndugu watanzania wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa neema ya kuiona siku ya leo.
Katika jitihada za kupambana na janga la Korona na hasa baada ya Mh. Magufuli kutuasa watanzania tumkimbilie Mungu na kutueleza tusiogope na tuweke tumaini kwa MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI, majirani wetu walimbeza na kumuita majina ya kila aina ya kejeri. Walitarajia kuona mass deaths kutoka TZ lakini hawakujua kuwa baada ya sisi kujinyenyekeza kwa mwenyezi Mungu, Mungu aliifutilia kwa mbali Korona. Naona sasa akili zimeanza kuwarudia na kuanza kufuata nyayo zetu.
().
Nimalizie na kusema, mtu awaye yote au nchi iwayo yote ikileta unafiki dhidi ya Tanzania, taifa limtegemealo Mungu, hawezi kufanikiwa. Kuna kikundi kimeanza kuleta fyokofyoko kwenye uchaguzi huu kinaitwa Kenya human right commission, kinashirikiana na vibaraka wengine wa kutoka TZ, kipigo kama cha korona kitawafuata na hawatafanikiwa. MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA NA MUNGU MUBARIKI NA KUMLINDA RAISI WA JMT, MH. MAGUFULI.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu