Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,313
Hii Sasa Kiyama😀😀😀
Alikuwa anaenda wapi?
Haya maneno ni yakujifariji grade 4..bila sisi kujipigania hawa mbwa ni ngumu sana .. nimemskiliza gara b anasema raia za Nigeria haziogop polisi hata punje..sisi sasa hadi unashikwa takoHata hivyo Bado kuna Tumaini katika Yeye Aliyeumba Mbingu na Nchi.
Watashindanaaa.....Hawatashinda
Utulie kama unanyolewa ukileta fyoko huko utabaki hukohuko mahakamani na weweNishafika mahakamani wakuu
Wanawake kwa uoga hamjamboUtulie kama unanyolewa ukileta fyoko huko utabaki hukohuko mahakamani na wewe
TutaaminijeNishafika mahakamani wakuu
Wanahubiri amani lakini wao ndio wavunjaji wa amaniHapo ndo ujue kuwa Hawa watu hawataki amani. Ila wananchi nao hawataki shari
Wewe kama mwanaume kweli kakiinukishe mahakamani KisutuWanawake kwa uoga hamjambo
Tunapambana kwa kutumia nguvu na njia mbali mbali. Hii ya kumpa Mungu utukufu tunaitanguliza mbele....nyingine zinafata.Haya maneno ni yakujifariji grade 4..bila sisi kujipigania hawa mbwa ni ngumu sana .. nimemskiliza gara b anasema raia za Nigeria haziogop polisi hata punje..sisi sasa hadi unashikwa tako
Ameacha mabaki yakimea na kuota.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Watanganyika mmeamua wapi? Mtandaoni au? Mbona field sioni hayo maamuzi mliyoamua?CCM wameshatepeta, hawajui wafanye kitu gani kuzuia No Redorms...
Hawajui watanganyika wameshaamua tayari, wanajua hii fursa ikifeli hawatakaa waipate tena.
Walijaribu mabadiliko ya amani kwa kumchagua EL 2020, watu wachache wakagoma kumtangaza - sasa nafasi ndiyo hii pekee either you take it ama ubakie utawaliwe na haka ka kikundi miaka nenda rudi.
Hapana mkuu, hajaacha mabaki ila haya yanayoendelea anayefanya yeye mwenyewe kutokea kaburiniAmeacha mabaki yakimea na kuota.