PreGE2025 Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi

PreGE2025 Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo Aprili 24,2025 katika eneo ya Fire akielekea Makama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.


View attachment 3313896
Kwani hao wahuni ni kina nani, hakuna mhuni ataachwa kisa ana kacheo chake flani kutaka kuitumia kuhatarisha amani ya nchi yetu. Wamesahau enzi za maalim Seif? ni ile ile haijabadiliki waliobadilika ni watu tu ila principles ni zile zile
 
Kwani hao wahuni ni kina nani, hakuna mhuni ataachwa kisa ana kacheo chake flani kutaka kuitumia kuhatarisha amani ya nchi yetu. Wamesahau enzi za maalim Seif? ni ile ile haijabadiliki waliobadilika ni watu tu ila principles ni zile zile
Kwenda kusililiza kesi mahakamani ni uhuni?
 
Akili ya mwafrika ndio typically ipo namna hii, anajua kila tatizo linatatuliwa na nyundo tu na mabunduki, ndio maana ni wateja wakubwa wa silaha toka kwa wazungu! Tutaona hizi nguvu zitawafikisha wapi.

Watanzania sio wajinga tena!
 
CCM wameshatepeta, hawajui wafanye kitu gani kuzuia No Redorms...

Hawajui watanganyika wameshaamua tayari, wanajua hii fursa ikifeli hawatakaa waipate tena.
Walijaribu mabadiliko ya amani kwa kumchagua EL 2020, watu wachache wakagoma kumtangaza - sasa nafasi ndiyo hii pekee either you take it ama ubakie utawaliwe na haka ka kikundi miaka nenda rudi.
TATIZO LEU WOTE MACHADEMA MMEKUWA KAMA AKILI MMEZIRUDISHA SEHEMU YA KUYAMBA YAANI MTU NA AKILI ZAKO ZIKO KICHWANI HAO WANAOPIGA KELELE KWENYE SIMU NDIYO WA KUZUIA UCHAGUZI USIFNAYIKE? NI MWENDAWAZIMU TU NDIYO ANAWEZA KUAMINI HICHOMANCHOKIFANYA
 
Haya maneno ni yakujifariji grade 4..bila sisi kujipigania hawa mbwa ni ngumu sana .. nimemskiliza gara b anasema raia za Nigeria haziogop polisi hata punje..sisi sasa hadi unashikwa tako
Nigeria mbali mkuu, Kenya tu hapo karibu...raia wanajitambua hawaogopi tena hao takataka!
Wanajua hao huwa wanatumika na kakikundi kadogo ka watawala ila akili hawana hivyo huwa wanagomea maagizo yao.
 
Back
Top Bottom