Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Unataka awe anatangaza barabarani kuhusu anakokwenda! Hebu anza wewe uwe mfano.Alikuwa anaenda wapi?
Kwani hao wahuni ni kina nani, hakuna mhuni ataachwa kisa ana kacheo chake flani kutaka kuitumia kuhatarisha amani ya nchi yetu. Wamesahau enzi za maalim Seif? ni ile ile haijabadiliki waliobadilika ni watu tu ila principles ni zile zileKatibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo Aprili 24,2025 katika eneo ya Fire akielekea Makama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
View attachment 3313896
Kufanya nini mkuu.Nishafika mahakamani wakuu
Kwenda kusililiza kesi mahakamani ni uhuni?Kwani hao wahuni ni kina nani, hakuna mhuni ataachwa kisa ana kacheo chake flani kutaka kuitumia kuhatarisha amani ya nchi yetu. Wamesahau enzi za maalim Seif? ni ile ile haijabadiliki waliobadilika ni watu tu ila principles ni zile zile
Da hakika hii nchi ni ya ajabu sanaKatibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo Aprili 24,2025 katika eneo ya Fire akielekea Makama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
View attachment 3313896
Mkuu unajua mi nani...Utulie kama unanyolewa ukileta fyoko huko utabaki hukohuko mahakamani na wewe
Mda huu zimeingia gari kama tano hvi za polisi hapaTutaaminije
Kuna field nafanya hapa na leo ndio siku ambayo tuliambiwa tukujeKufanya nini mkuu.
Una mbwembwe balaaMkuu unajua mi nani...
Nipo hapa kama mwandamizi ea field hivo najua nachokifanya mkuu
Naomba mumtoe kijana wangu Heche kwa sero.Kuna field nafanya hapa na leo ndio siku ambayo tuliambiwa tukuje
Ndo nakuambia ujue sasaUna mbwembwe balaa
Sawa mkuuNaomba mumtoe kijana wangu Heche kwa sero.
Yakuz Yavuz ni suluhisho la mambo yote mkuu.Sawa mkuu
Wewe mbinu zote unajua YAKUZ
TATIZO LEU WOTE MACHADEMA MMEKUWA KAMA AKILI MMEZIRUDISHA SEHEMU YA KUYAMBA YAANI MTU NA AKILI ZAKO ZIKO KICHWANI HAO WANAOPIGA KELELE KWENYE SIMU NDIYO WA KUZUIA UCHAGUZI USIFNAYIKE? NI MWENDAWAZIMU TU NDIYO ANAWEZA KUAMINI HICHOMANCHOKIFANYACCM wameshatepeta, hawajui wafanye kitu gani kuzuia No Redorms...
Hawajui watanganyika wameshaamua tayari, wanajua hii fursa ikifeli hawatakaa waipate tena.
Walijaribu mabadiliko ya amani kwa kumchagua EL 2020, watu wachache wakagoma kumtangaza - sasa nafasi ndiyo hii pekee either you take it ama ubakie utawaliwe na haka ka kikundi miaka nenda rudi.
Nigeria mbali mkuu, Kenya tu hapo karibu...raia wanajitambua hawaogopi tena hao takataka!Haya maneno ni yakujifariji grade 4..bila sisi kujipigania hawa mbwa ni ngumu sana .. nimemskiliza gara b anasema raia za Nigeria haziogop polisi hata punje..sisi sasa hadi unashikwa tako
HahahaUnataka awe anatangaza barabarani kuhusu anakokwenda! Hebu anza wewe uwe mfano.