Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Hii comment yako imetoa majibu kwa maswali mengi sana. Lissu anaweza kukaa gerezani hadi uchaguzi upite na hakuna tatizo lolote litatokea.Hapo ndo ujue kuwa Hawa watu hawataki amani. Ila wananchi nao hawataki shari
Uzuri wanaoandika humu woote wanaweza keshikwa tako na polisi ndiyo maana viongozi wa chadema wanasombwa kama kuku na hao polisi.Haya maneno ni yakujifariji grade 4..bila sisi kujipigania hawa mbwa ni ngumu sana .. nimemskiliza gara b anasema raia za Nigeria haziogop polisi hata punje..sisi sasa hadi unashikwa tako
Hawatumii akili, wanakurupuka tu wao waliskia wapi kuskiliza kesi mahakamani ni kosaHapo ndo ujue kuwa Hawa watu hawataki amani. Ila wananchi nao hawataki shari
Wananchi bado hatujaamua ila viongozi tu wa chadema, maana hii kamata kamata afu sisi tunabaki kupigana kwenye keyboard hakuna kitu kitafanyikaCCM wameshatepeta, hawajui wafanye kitu gani kuzuia No Redorms...
Hawajui watanganyika wameshaamua tayari, wanajua hii fursa ikifeli hawatakaa waipate tena.
Walijaribu mabadiliko ya amani kwa kumchagua EL 2020, watu wachache wakagoma kumtangaza - sasa nafasi ndiyo hii pekee either you take it ama ubakie utawaliwe na haka ka kikundi miaka nenda rudi.
Chooni.Alikuwa anaenda wapi?
Ndio amani wanayoihubiri akina Wassira hii!?Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo Aprili 24,2025 katika eneo ya Fire akielekea Makama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
View attachment 3313896
Alikuwa anaenda chooni ndio akakamatwa? 😄😄Chooni.
Ina maana huja-expand ili kuisoma yote? Una haraka ya nini?
Nyie ndio mnafanya hii nchi kuwa ngumu.
NdioUnataka awe anatangaza barabarani kuhusu anakokwenda! Hebu anza wewe uwe mfano.