Hapa ndiko shida imeanzia.mixer nyagi n
Huwa una kawaida ya kupiga picha chakula kabla ya kula?Maana wengine ukiwa unatusimulia jambo akili hupekecha hadi kesho yake.🤫🤫🤫🤫🤫🤫View attachment 3415464
Moderator wiki jana sio jana.
Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta
Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu nikawa nacheka cheka tu na mabaa medi.
Nimerudi nyumbani saa mbili na nusu nyumba giza na waifu akanipa hio menu hapo nile, nikaanza kumgombeza maana akili iko juu juu.
Asubuhi nimeamka na nafsi yangu imenichoma sanaa na nikaona watoto walishindia chai na biskuti za dukani, nikajiona fala sana.
NILIACHA UGALI, SASA NIMEACHA NA POMBE
Mjumbe atoe neno kweli kabisamin -me unazungumziaje kuhusu hili?!
Hivi kunywa pombe kistaarabu ndiyo unakunywaje hivyo?Hapa ndiko shida imeanzia.
Mixer ya bia na Nyag au K vant ni mbaya sana.
Anyway. pombe aina yoyote ni mbaya Mkuu. tunywe kistaarabu.
Mnaoa wake hawawezi kusolve issue ndogo kama luku duu asee kazi mnayoView attachment 3415464
Moderator wiki jana sio jana.
Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta
Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu nikawa nacheka cheka tu na mabaa medi.
Nimerudi nyumbani saa mbili na nusu nyumba giza na waifu akanipa hio menu hapo nile, nikaanza kumgombeza maana akili iko juu juu.
Asubuhi nimeamka na nafsi yangu imenichoma sanaa na nikaona watoto walishindia chai na biskuti za dukani, nikajiona fala sana.
NILIACHA UGALI, SASA NIMEACHA NA POMBE
Sio Kunywa kistaarabu balipombe aina yoyote ni mbaya Mkuu. tunywe kistaarabu.