Japo sometimes Kiu inakuwa kali Arosto za hapa na pale , kukosa usingizi ila niendelea kukazaa kisawasawa.
Company yangu ya ulevi imehuzunika sana baada ya juzi kunipatia invitation nikawaambia nimeacha pombe wengi hawakuamini ila ndio hivyo....maneno yao mengi ni utarudi tu kunywa pombe wewe...
Moderator wiki jana sio jana.
Wiki iliopitia Wife kanipigia simu saa kumi umeme umekata na gesi imeisha, ila akili yangu ilikuwa settled katika kutuliza koo kidogo koo kwa dakika 10 alafu nikimbie home ninunue umeme fasta
Ebwana eeh, si raha ya maji ikazidi mixer nyagi nikasahu kila kitu...
Kwema wakuu baada ya kutumia pombe kwa kipindi cha miaka 11 tarehe 7.3.2025 nimeacha pombe Rasmi na pia nachagua Marafiki ambao hawanywi pombe bahati nzuri Mpenzi wangu Hanywi Pombe
Nakushauri acha pombe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.