THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habari!
Kwa mtu aliemfatilia Jamaa Kwa hizi games zote alizocheza Kwa playing style ya Simba na anavyocheza yeye hafai kabisa na soon mtakuja kukubaliana na Mimi.
Ni Mzito Balaa na anachoka
Lionel Ateba Hana pumzi 30 Minutes ashachoka anahema Kwa shida anaanguka ovyo kama Rasmus Hojlund wa United Kwa wafatiliaji wa soka la Ulaya nahisi wanamfahamu huyu dogo Hana stamina kabisa the same issue Kwa Ateba.
Ateba Juzi Kuna Chance kama Mbili ila Moja ilikua ndio nzuri zaidi ilitokea Mpiran ulipigwa kutokea winga ya kushoto ukakatiza ukaenda zake Attacker wa wa Simbaalikua pale ilikua ni goli la wazi kabisa chance haikutumiwa.. kuangalia nikamuona ATEBA alikua huko chini pemben Kwa beki wa kulia wa Azam ndio anakuja anajikongoja.
Ateba Team inavyokua Ina move haendi nayo ndio kitu kiangalien hasahasa after kama 25 Minutes anakua slow sana.
Time will tell inawezekana nikasakamwa maana Mashabiki wa Bongo hua wanaangalia ukifunga Leo na kesho unapewa Uking.
Ila Kwa Ateba still sio Aina ya Strika Simba wanamhitaji.
Mkwala angeanza na Bahat nzuri ya kufunga Mungemkubali...A man ana nguvu speed na hachokichoki ovyo sema ndio hivo Mambo ya Bongo ataachwa January halaf atabaki ATEBA Na BUDO
GooNight🇵🇹