tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Huyo kijana inawezekana mtoto ni wake ila mtoto kabadilishiwa baba sababu kijana ni apeche alolo
Umeleta story ambayo huijui?Sasa nani alimbadilishia mkuu? Hospitali?
Umeleta story ambayo huijui?
Umeleta mada, umeweka mpaka video iweje unifanyie interview?Jibu swali acha kamdomo
Unajua madhara atakayompata mama na mtoto pindi itakapoonekana mtoto huyo siyo wangu ukizingatia huyo mama ni mke wangu,nimelea mimba nk?
fact 💯Hii interview ya huyu dada anayeitwa Shuu Salun mmeiangalia?
Yaani huyu dada alicheat, alafu akaja kumwambia kaka wa watu kuwa hiyo mimba ni ya kwake na alisema ALIPANGA kabisa kupata hiyo mimba na mchepuko wake
Mimi naona tukija na huu mfumo itasaidia kupunguza tata au shaka kuhusu nani baba halisi wa mtoto na itapunguza Paternity Fraud kwa 90%
Yaani hakuna mtoto kupewa cheti cha kuzaliwa bila kupimwa DNA
Faida za Kufanya DNA Wakati wa Kuzaliwa
- Kuzuia Migogoro ya Uzazi: Inaondoa utata au shaka kuhusu nani baba halisi wa mtoto tangu siku ya kwanza, jambo linaloweza kuzuia migogoro ya kifamilia na kisheria huko mbeleni.
- Kuzuia Mchanganyiko wa Watoto: Inasaidia kuhakikisha mtoto habadilishwi hospitalini—iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi.
- Ulinzi na Utambulisho (Security): Kama mtoto akipotea, akitekwa, au ikitokea maafa, taarifa zake za DNA kwenye mfumo wa taifa zinasaidia kumtambua kwa haraka na kwa usahihi wa 100%.
- Afya ya Mtoto: Vipimo vya kigenetiki vinaweza kusaidia kubaini mapema hatari ya magonjwa ya kirithi na kumwezesha daktari kutoa matibabu sahihi mapema.
Unajua madhara atakayompata mama na mtoto pindi itakapoonekana mtoto huyo siyo wangu ukizingatia huyo mama ni mke wangu,nimelea mimba nk?
I baki kuwa maamuzi ya WAHUSIKA WAKUU!Hii interview ya huyu dada anayeitwa Shuu Salun mmeiangalia?
Yaani huyu dada alicheat, alafu akaja kumwambia kaka wa watu kuwa hiyo mimba ni ya kwake na alisema ALIPANGA kabisa kupata hiyo mimba na mchepuko wake
Mimi naona tukija na huu mfumo itasaidia kupunguza tata au shaka kuhusu nani baba halisi wa mtoto na itapunguza Paternity Fraud kwa 90%
Yaani hakuna mtoto kupewa cheti cha kuzaliwa bila kupimwa DNA
Faida za Kufanya DNA Wakati wa Kuzaliwa
- Kuzuia Migogoro ya Uzazi: Inaondoa utata au shaka kuhusu nani baba halisi wa mtoto tangu siku ya kwanza, jambo linaloweza kuzuia migogoro ya kifamilia na kisheria huko mbeleni.
- Kuzuia Mchanganyiko wa Watoto: Inasaidia kuhakikisha mtoto habadilishwi hospitalini—iwe kwa bahati mbaya au kwa makusudi.
- Ulinzi na Utambulisho (Security): Kama mtoto akipotea, akitekwa, au ikitokea maafa, taarifa zake za DNA kwenye mfumo wa taifa zinasaidia kumtambua kwa haraka na kwa usahihi wa 100%.
- Afya ya Mtoto: Vipimo vya kigenetiki vinaweza kusaidia kubaini mapema hatari ya magonjwa ya kirithi na kumwezesha daktari kutoa matibabu sahihi mapema.
Hata mimi nimehisi hiviHuyo kijana inawezekana mtoto ni wake ila mtoto kabadilishiwa baba sababu kijana ni apeche alolo
Wanawake kutwa Kuwaiti wanaume "malaya",ila kwenye swala la DNA wanaywea. Kwa tamaa zao za fedha na fantansy hizi za kingono, wengi wao wanajikuta wanadate na mwanaume zaidi ya mmoja. Demu unakuta anastress na michezo,kodi, vikoba,mikopo, kukimbizana na fashion, matoleo mapya ya simu, hapo hapo bado anataka mwanaume wa kumkojoza,mwenye mwonekano nk mara nyingi ujikuta wanadate na mwanaume zaidi ya mmoja.Hii interview ya huyu dada anayeitwa Shuu Salun mmeiangalia?