Waliye kuwa wanamtetea yeye kasaini Ceasefire kazi ngumu Hezbollah sasa anaibeba atapigwa mpaka achakae!!Kazi wanayo
Wewe kenge acha ushoga wako Hezbullah alifata amri ya kuwa kuna ceasefire kama kawaida yake Israel akavizia watu wako kwenye ceasefire akapiga Lebanon lakini Iran kamtia adabu kampelekea mvua za Missiles yeye na UAE na base moja ya USA kwa tarifa yako America hakujibu hilo shambuliio kumuwachia Israel apambane na Iran peke yake akitaka vita, lakini Israel hana ubavu huo kama walivyo andika magazeti ya Israel leo hivi israel is no longer roaring but a crying cat
Ndani ya dakika 10 na katika maeneo mengi kwa wakati mmoja, IDF ilikamilisha shambulio kubwa zaidi lililoratibiwa tangu kuanza kwa Operesheni ya Roaring Lion, ikilenga zaidi ya vituo 100 vya amri ya Hezbollah na maeneo ya kijeshi huko Beirut, Beqaa, na kusini mwa Lebanon.
Malengo yaliyopigwa yalijumuisha makao makuu ya Hezbollah, safu za kijeshi, na vituo vya amri na udhibiti:
● Vituo vya amri ya ujasusi na makao makuu ya kati yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah kwa kuelekeza na kupanga mashambulizi ya kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF na raia wa Israeli.
● Miundombinu ya nguvu za moto za Hezbollah na safu za majini, zinazohusika na kurusha makombora kuelekea wanajeshi wa IDF ardhini, baharini, na ndani ya eneo la Israeli.
● Mali za Kikosi cha Radwan, na kitengo cha Angani (127) - vitengo vya juu vya Hezbollah.
Shambulio hilo kubwa lilitokana na ujasusi sahihi wa IDF na lilipangwa kwa uangalifu kwa wiki kadhaa na Kurugenzi ya Uendeshaji ya IDF, Kurugenzi ya Ujasusi, Kikosi cha Anga cha Israeli, na Kamandi ya Kaskazini, ili kuongeza uharibifu uliosababishwa na shirika la kigaidi la Hezbollah. Miundombinu mingi iliyoharibiwa ilikuwa ndani ya moyo wa raia, kama sehemu ya unyonyaji wa kijinga wa Hezbollah kwa raia wa Lebanon kama ngao za binadamu ili kulinda shughuli zake. Kabla ya mashambulizi hayo, hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara kwa watu wasiohusika iwezekanavyo.
Kwenye ceasefire walikubali hawatagusa Hezbullah, Al Houth na Vikundi viliopo Iraq wapi Iran alikataa hawapi support Hezbullah, Al Houth na vikosi vya IraqIran imejichanganya kwa kufunga Hormuz tena kwasababu ya Israeli kushambulia Hezbollah.Maana katika mazungumzo kabla ya vita ilisema haina mahusiano na Hezbollah na Houthis katika mashambulizi dhidi ya Israeli. Kwamba wanafanya kwasababu zao wenyewe. Sasa imefunga mlango wa Hormuz kwasababu hiyo. Hivyo ile tuhuma kwamba Iran inafadhili makundi hayo, sijui wataificha wapi?
Tulia dawa iwaingieKwenye ceasefire walikubali hawatagusa Hezbullah, Al Houth na Vikundi viliopo Iraq wapi Iran alikataa hawapi support Hezbullah, Al Houth na vikosi vya Iraq
Kwani Israel ni nani kama sio ni taifa la kigaidi
Israel hana ubavu wakupigana na Hezbullah anacho fanya kupiga civilian target we huoni alisema wameimaliza Hezbullah kumbe walikuwa wanapiga majumba sio silahaTulia dawa iwaingie
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema makubaliano ya usitishaji vita wa muda na Iran hayaihusu Lebanon na kwamba nchi yake itaendelea kuwashambulia wanamgambo wa Hezbollah hadi watakaposambaratishwa.
Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu kutolewa tangazo la kusitishwa vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran, Netanyahu amesema Hezbollah italengwa kila kona na jeshi la Israel.
Hapo kabla, iliarifiwa kuwa usitishaji vita ungeihusu pia Lebanon ambako wanamgambo wa Hezbollah walijiunga kuisadia Iran kwa kuvurumisha makombora kuelekea Israel.
Netanyahu pia amesema, Israel iko tayari wakati wowote kurejea vitani dhidi ya Iran akisema makubaliano ya sasa siyo mwisho wa azma ya Israel ya kufikia malengo yake ndani ya Iran iwe ni kupitia mkataba wa amani au kurejea tena kwa makabiliano ya kijeshi.
Ndio mnavyodanganyana hapo Masjid kubra na Masjid Mtoro?Israel hana ubavu wakupigana na Hezbullah anacho fanya kupiga civilian target we huoni alisema wameimaliza Hezbullah kumbe walikuwa wanapiga majumba sio silaha
Iran ataicharaza Israel we tulia utaona
Mimi naomba Hezbullah apige na yeye majumba tu huko Israel sababu hao hawaheshimu raia vipi Hezbullah wapige target za kijeshi tu