chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata taratibu zote, lakini Waziri Silaa anataka kuwageuka kana kwamba wizara yake haikuwapa vibali vyote