We mbona unawashwa sana na hii issue umetumwa na hao wamiliki wa vituo? Waambie watii sheria za nchi, vituo vyote vilivyokiuka taratibu na sheria lazima vivunjwe. Kwa hiyo tuliza tako we bwege.Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata taratibu zote, lakini Waziri Silaa anataka kuwageuka kana kwamba wizara yake haikuwapa vibali vyote
Huyu ni maskini anatumiwa na mmiliki flani na tunawafahamu, waambie watii sheria bila shurutiMwenzetu una hisa kwa hio miradi
Si kwa mkalia kooni Mheshimiwa
Nadhani shida haipo kwenye hisa, shida ipo kwenye kulitia hasara taifa, coz akianza kuvunja wakati wawekezaji walifata taratibu zote na wana vibali halali kuna possibility ya kushitakiwa serikali na ikitokezea serikali ikashindwa kodi yako ndio italipa hiyo fidia ya hasara kwa mwekezaji.Mwenzetu una hisa kwa hio miradi
Si kwa mkalia kooni Mheshimiwa
We unakerwa na nini, wananchi tunahitaji taarifa ya kila kinachofanywa na serikali yetu. Keep it up mh. Sana SilaaHivi Jerry hawezi kutekeleza wajibu wake mpaka kila kitu anachokifanya kianikwe kwenye mamedia ?
Sisi tunataka matendo tumechoka na maneno
Au ndio msimu wa comedy umeanza ?
Anapiga siasaHivi Jerry hawezi kutekeleza wajibu wake mpaka kila kitu anachokifanya kianikwe kwenye mamedia ?
Sisi tunataka matendo tumechoka na maneno
Au ndio msimu wa comedy umeanza ?
Siyo kazi rahisi kihivyo kuvunja hivyo vituo vya Mafuta. Kama wamekiuka Sheria, Je, Serikali ilikuwa wapi wakati ujenzi wa hivyo vituo ulipokuwa unafanyika?Kwa nini hawakuchukuliwa hatua za Kisheria mapema wakati vituo hivyo vilipokuwa vinajengwa?We mbona unawashwa sana na hii issue umetumwa na hao wamiliki wa vituo? Waambie watii sheria za nchi, vituo vyote vilivyokiuka taratibu na sheria lazima vivunjwe. Kwa hiyo tuliza tako we bwege.
Thubutu, hana ubavu huo.Kama Slaa Ni mlume kweli he aje afunge hiki kituo hapa stop over mataa.
Doll....Ilishindikana Mwembechai Shuleni kwa Super [emoji93] [emoji23][emoji23]