Silaa anatafuta hela kwa nguvuHivi mnakumbuka ishu ya mgogoro wa Hayati JPM na wamiliki wa malori? Hadi JPM kutishiwa kuuawa?
Bahati yake alibahatika kuwa Rais, vinginevyo he was hunted
Nchi ngumu hii hasa unapoanzisha Vita na wafanyabiashara
Hawezi kufanya hivyo. Lakini angeanza kwanza na kujiuliza hakuna mtu anajenga kituo bila kibali. Nani alitoa vibali? Vituo havioti kama uyoga waanze na kudeal waliotoa vibali.Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata taratibu zote, lakini Waziri Silaa anataka kuwageuka kana kwamba wizara yake haikuwapa vibali vyote
Kabisa, anasema waziri wa awali alisaini kanuni mbaya za mwaka 2018 kuhusu mambo ya makazi, sasa kanuni hizo yeye kama waziri mpya anazikataaje? Kwa maneno na kufunga vituo vya mafuta vya watu waliotumia kanuni hizo kupata vibali?Hawezi kufanya hivyo. Lakini angeanza kwanza na kujiuliza hakuna mtu anajenga kituo bila kibali. Nani alitoa vibali? Vituo havioti kama uyoga waanze na kudeal waliotoa vibali.
Sasa kama waziri ndiye alisaini kanuni ina maana vituo vilijengwa kihalali sasa kwanini awape adhabu ambayo hawastahiliKabisa, anasema waziri wa awali alisaini kanuni mbaya za mwaka 2018 kuhusu mambo ya makazi, sasa kanuni hizo yeye kama waziri mpya anazikataaje? Kwa maneno na kufunga vituo vya mafuta vya watu waliotumia kanuni hizo kupata vibali?
Aanze kuzirekebisha, na ziwaguse wale ambao wataanza ujenzi baada ya yeye kuzisaini, haziwahusu waliopata vibali zamani. Na pia mteja anahusikaje na makosa ya ndani ya wizara?
Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata taratibu zote, lakini Waziri Silaa anataka kuwageuka kana kwamba wizara yake haikuwapa vibali vyote
Bado na Chipukizi wanaandaliwa kuja kula keki peke yaoHawa vijana wanaopewa uongozi Kwa hisani ya wazazi wao ni shida Sana. Hamna wanachojua zaidi ya kutafuta Kiki na umaarufu wa kijinga na hapa ndipo naunga hoja ya katiba mpya ili viongozi hawa watokane na nguvu ya wananchi na sio Kwa hisani kama ilivyo Kwa jerry silaa
We mbona unawashwa sana na hii issue umetumwa na hao wamiliki wa vituo? Waambie watii sheria za nchi, vituo vyote vilivyokiuka taratibu na sheria lazima vivunjwe. Kwa hiyo tuliza tako we bwege.
Huoni matendo?Hivi Jerry hawezi kutekeleza wajibu wake mpaka kila kitu anachokifanya kianikwe kwenye mamedia ?
Sisi tunataka matendo tumechoka na maneno
Au ndio msimu wa comedy umeanza ?
Matendo yake yana kasoro. Huyo aliyetaka kumpa rushwa alipaswa kuwa chini ya vyombo vya dola kumwacha ni kuvunja sheria.Huoni matendo?
Hata kuzuia huo uendelezaji ni matendo
JERRY SLAA ACHA KIMBELEMBELE, ACHA KUSHUGHULIKA NA ISSUE AMBAZO ZINAOPERATE, MAKOSA YAMEKWISHA TOKEA HUKO NYUMA, CHAMSINGI ANZA KUDHIBITI KUANZIA SASA / DHIBITI UDHAIFU NDANI YA AWAMU YAKO YA UTUMISHI,YALIYOKWISHA PITA NI MFUPA MGUMU.Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata taratibu zote, lakini Waziri Silaa anataka kuwageuka kana kwamba wizara yake haikuwapa vibali vyote
Na anatembea kashika mi mike kibao km vile ye ndo mwandishi wa habari sio waziriHivi Jerry hawezi kutekeleza wajibu wake mpaka kila kitu anachokifanya kianikwe kwenye mamedia ?
Sisi tunataka matendo tumechoka na maneno
Au ndio msimu wa comedy umeanza ?
Tendo la kwanza ni kuzuia ujenzi, tendo lingine kapiga dodoma kufuta umiliki itega wa viwanja vya vigogoMatendo yake yana kasoro. Huyo aliyetaka kumpa rushwa alipaswa kuwa chini ya vyombo vya dola kumwacha ni kuvunja sheria.
Na matendo yake inabidi yaanze na watoa vibali maana hakuna mtu anajenga kituo bila kibali sasa vibali walivitoaje
Hizo klinic hazina msaada, wengi wameenda mahakamani kupinga maamuzi yake, na atashindwa tuTendo la kwanza ni kuzuia ujenzi, tendo lingine kapiga dodoma kufuta umiliki itega wa viwanja vya vigogo
La tatu kapiga clinic ya ardhi dodoma
Mko bongo au ndio yale ya kufuatilia umbeya???
Tendo kuu ilikuwa kuhakikisha akiyetaka kumoa rushwa maana ni kosa kisheria anamfikisha kunako stahili. Sasa yeye kama waziri anasema mtu alitaka kumoa rushwa ya mls 300 halafu kamuacha tu?Tendo la kwanza ni kuzuia ujenzi, tendo lingine kapiga dodoma kufuta umiliki itega wa viwanja vya vigogo
La tatu kapiga clinic ya ardhi dodoma
Mko bongo au ndio yale ya kufuatilia umbeya???
SIO LAZIMA VIVUNJWE VITANYIMWA LESENI MAJENGO WABADILISHE MATUMIZI YA AWALIWaziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata taratibu zote, lakini Waziri Silaa anataka kuwageuka kana kwamba wizara yake haikuwapa vibali vyote
Sio rahisi hivyo, kwemye sheria kuna kitu kinaitwa legitimate expectation, na pia lazima utoe sababu za kunyima leseni, kama ni za kipuuzi, mahakama inakulazimisha uitoe, hutaki unapelekwa stooSIO LAZIMA VIVUNJWE VITANYIMWA LESENI MAJENGO WABADILISHE MATUMIZI YA AWALI
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Aivunje na chuo kikuu huria biafra eneo lote lile ilikuwa open space [emoji1]Sio rahisi hivyo, kwemye sheria kuna kitu kinaitwa legitimate expectation, na pia lazima utoe sababu za kunyima leseni, kama ni za kipuuzi, mahakama inakulazimisha uitoe, hutaki unapelekwa stoo