#COVID19 Baada ya Joe Biden kupata COVID, Makam wa Rai aongezewa ulinzi

#COVID19 Baada ya Joe Biden kupata COVID, Makam wa Rai aongezewa ulinzi

Waje kujifunza smooth tansition hapa bongo land japo experience yao ni kubwa sana tangu kwa kina Kennedy huko
 
Biden ndo bye bye tena, hata ana saratani , anapinduliwa pia na Makamu, pure evil!

1658430275891.jpeg
 
Joe na umri wake, hatari sana covid 19 kwake, so Makamu atapewa nchi very soon. Tumuombea Mungu apone, huu ugonjwa hatari sana kwa wazee wa umri mkubwa vile, 80+ yrs
 
Biden alishapata chanjo mbili za covid 19 na booster mbili za covid 19, lakini covid kamtembelea!! Leo katega tena bega!

1658432027513.png

Hapa Tz Mungu ni mwema sana!! Tulimtanguliza Mungu wakati wao walitanguliza mwanadamu na sayansi!! Sisi asilimia zaidi ya 90 hawana chanjo hata moja lakini Mungu alituponya na tunampa utukufu wote!
 
Biden alishapata chanjo mbili za covid 19 na booster mbili za covid 19, lakini covid kamtembelea!! Leo katega tena bega!

View attachment 2299222
Hapa Tz Mungu ni mwema sana!! Tulimtanguliza Mungu wakati wao walitanguliza mwanadamu na sayansi!! Sisi asilimia zaidi ya 90 hawana chanjo hata moja lakini Mungu alituponya na tunampa utukufu wote!
Ng'ombe
 
Kuna mtu kanipenyezea kutoka huko USA kwamba Kamala kwa sasa kaongezewa ulinzi na huenda akaangukia na bahatai ya kuokota embe chini ya mnazi.

Kiwango cha Ulinzi kimeongezeka sana baada tu ya taarifa ya mzee kuumwa covid.

Bado ni tetesi lakini nikipata habari kamili nitawajuza
Fake news hizi na utopolo mtupu zinaja server tu
 
Joe ukimwangalia hayuko sawa kwanza anasumbuliwa sana na Senile dementia now anaelekezwa kila kitu hata pa kukaa,kuongea nk usipompa karatasi amesahau sema Wamarekani wanajificha tu hii aibu lakini wanajuta kumpa urais mtu mzee ambaye afya yake mgogoro.
 
Huyu mzee kwenye uongozi wake anachojivunia kuwajaza wapenzi wa jinsia moja kwenye system ndicho alichofanikiwa
 
Back
Top Bottom